yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Wasafi hawajawahi kumtupa makonda, na mara nyingi walikuwa wanampaisha hata kwenye nyimbo zao...Baba kegan alipotezewa mpaka na wale waliokuwa wanasema mlezi wao wale wachafu, sijui wataanza kujirudisha urafiki Ila kapata funzo la kujua watu wanakupenda ukiwa kwenye nafasi, mungu kamtoa aibu.