Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ,huyu albino ni zaidi ya ndumilakuwili.Lakini Haji alikiri mwenyewe mbele ya wanahabari kwamba alimkosea rais wa TFF. Na akaomba radhi... Sasa Leo mbona anaruka kimanga?
Huyu hajipalii makaa bali ni kuionyesha dunia wehu wake na wahusika wampeleke hospitaliniHe's escalating the situation, anazidi kujipalia makaa,
sijui kwa nini Yanga wanajiingiza kwenye huu ujingaHapa sasa kajilengesha fresh,anamtuhu waziri kuwa ndiye aliyeshinikiza adhabu ile. Halafu kuna wapumbavu wanataka kwenda kwa Rais kwa ajili ya huyu zeruzeru mvuta bangi.
Si mkwe wa, rais huyu?? Hauko serious.Mchengerwa atajua hajui....aliondolewa wizara ya kueleweka kwa kugusa wasiogusika, sasa na huku atapndolewa hivyo hivyo.
Labda sio hapa Tz, kwa nchi hii haki za Rizione haziwezi kuwa sawa na zako wewe kapuku usiokuwa na mbele wa nyuma.Haki za watu hazina ushemeji.
Kwahiyo analeta "undengereko"Waziri Mchengerwa ni mndengereko na Haji ni mndengereko anamuagiza Mndengereko mwenzie akamsadie.
Kama mkwe wa raisi akizingua ndio azinguliwi......Si mkwe wa, rais huyu?? Hauko serious.
Shida juu ya tatizoMsemaji wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya shilingi milioni 20.
Manara amemtaka Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa kwenda kusimamia haki ya kiapo chake cha Katiba kwa kuhakikisha kanuni zilizotumika kumfungia zinakuwa ni kanuni halali ambazo zimesajiliwa.
“Kwa minajili hiyo mimi na Mchengerwa wote Wandengereko na naamini wandengereko wote tunasimama na haki, Waziri wangu Mchengerwa kasimamie haki ya kiapo chako cha katiba kwamba huwezi kuruhusu kama ulivyosema siku ile kwa mbwembwe kwamba niadhibiwe basi nenda kwa mbwembwe hizohizo kasimamie utekelezaji wa kwamba kanuni lazima zisajiliwe.” Amesema Manara.
Aidha Manara amesema yeye bado ni msemaji halali wa Yanga kwani hajapewa nakala ya hukumu yake ambayo ndiyo inampatia haki ya kukata rufaa.
Akiongea kuhusu sakata la kumtukana Rais wa TFF Wallace Karia amesisitiza kuwa hajafanya kosa kama hilo na hajamtukana Rais Karia zaidi yeye ndiye aliyekosewa na imekuwa ni muendelezo wa kupewa kauli chafu na za kiudhalilishaji kutoka kwa Rais huyo wa TFF.
ndio kwa akili zake na mihemko yake anataka ukabila utumike kumtetea.Kwahiyo analeta "undengereko"