Manara aomba kukutana na Gianni Infantino

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wakati mkutano mkubwa ukifanyika Arusha, Haji Manara ameomba kufanya mkutano mdogo na kiongozi mkuu wa FIFA.

Ikumbukwe kabla ya kuisha kwa mkutano huo, Manara pia amekubaliwa kufanya mazungumzo na ndg Motsepe.
Baki hapa hapa kujua kipi kitajiri.
 
🤣🤣🤣
 
Mpaka Karia aruhusu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji28]
 
Na kwa roho yake mbaya anaweza kujaribu kuzuia....

Lakini kama anaweza kumfikia Rais wa CAF basi ni rahisi kumfikia Rais wa FIFA kupitia kwa Rais wa CAF bila kupitia TFF.
 
Lugha inapanda au mbwembwe tu

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Nahisi atamwambia....

"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."

😂😂😂
 
Nahisi atamwambia...."TFF they closed me for two years,the Karia is very very bad man. Karia he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He destroy my brAnd. Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa huyu kifutu wa kariakoo anadhani ni rahisi kihivyo kisa kamuona Karia yuko nae, Karia ni taasisi mpe heshima yake hata kama ana mapungufu yake.

Ona sasa ili angalau akusikilize mpaka Karia akuombee appointment na hiyo ni baada ya kumueleza shida yako akaona ina mashiko. Kama jambo lako ni la kitaasisi mueleze Karia atalifikisha.
 
Wakati mkutano mkubwa ukifanyika Arusha, Haji Manara ameomba kufanya mkutano mdogo na kiongozi mkuu wa FIFA.

Ikumbukwe kabla ya kuisha kwa mkutano huo, Manara pia amekubaliwa kufanya mazungumzo na ndg Motsepe.
Baki hapa hapa kujua kipi kitajiri.
Labda akamuambie FIFA byuti byuti.... Ze yanga return of champions.
 
Nahisi atamwambia....

"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."

[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji28]
 
Nahisi atamwambia....

"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."

😂😂😂
Noma sana
 
Back
Top Bottom