Manara aomba kukutana na Gianni Infantino

Manara aomba kukutana na Gianni Infantino

[emoji16][emoji16][emoji16].manara anajiona mtu special Sana.
Na anaona yeye ana akili Sana kushinda watanzania wote.
Yaani yeye na utopolo ndo wanajua tofauti ya shughuli za mpira na kazi ya MC.
hata kukutana na viongozi wa mpira ni shughuli za kimpira AKATAZWE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119], I'm a Dar Young Africa fan ila imebidi nicheke
 
Nahisi atamwambia....

"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."

😂😂😂
Jamani jamani mtatuvunja mbavu 😂😂😂
 
Na kwa roho yake mbaya anaweza kujaribu kuzuia....

Lakini kama anaweza kumfikia Rais wa CAF basi ni rahisi kumfikia Rais wa FIFA kupitia kwa Rais wa CAF bila kupitia TFF.
Huu uwezo mnaojaribu kumpa Manara unatolewa na wavuta bangi au unga ambao tayari wapi stimu, ndoto za mchana hizo.
 
Back
Top Bottom