Manara aomba kukutana na Gianni Infantino

Manara aomba kukutana na Gianni Infantino

Nahisi atamwambia....

"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."

😂😂😂
Akiweza hata hivi itakua kajitahidi sana.

😃😃
 
Na kwa roho yake mbaya anaweza kujaribu kuzuia....

Lakini kama anaweza kumfikia Rais wa CAF basi ni rahisi kumfikia Rais wa FIFA kupitia kwa Rais wa CAF bila kupitia TFF.
Kwahyo unaaamini mkuu?
 
Ukisikia watu kukosa Akali ndiko huku sasa anaomba kuongea na rais wa FIFA yeye kama nani katika soka
Mdau wa Soka..., Sasa mdau wa Soka ataomba kuongea na Rais wa Ndondi ? Si Soka ndio mahala pake au ?
 
Ataomba kuonana nae yeye akiwa kama nani? Hapa naona kukiwa na ugumu.
 
Hahaaaa
Nahisi atamwambia....

"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imebidi nicheke tu kwa kweli, kwanza lugha anayo auataenda na mkalimani wake?
 
Soka la kidunia haliihitaji mtu kama manara anaweza akasikilizwa lakin maoni yake yasifanyiwe kazi tutazingatia kumsikiliza ili kujiondoa kwenye kashfa ya ubaguzi tu maana mtu kama yeye hachelewi kusema hajasikilizwa kwasbabu ya ubaguzi
 
Wakati mkutano mkubwa ukifanyika Arusha, Haji Manara ameomba kufanya mkutano mdogo na kiongozi mkuu wa FIFA.

Ikumbukwe kabla ya kuisha kwa mkutano huo, Manara pia amekubaliwa kufanya mazungumzo na ndg Motsepe.
Baki hapa hapa kujua kipi kitajiri.
Akitoka kifungoni atamfuata huyo kiongozi wa FIFA huko Zürich, Switzerland. Kiongozi hakuja Tanzania kumsikiliza Manara.
 
Nyie mamung'anya kweli kweli

Rais wa fifa anachoweza kumshauri huyu mswahili ni kumuambia afuate taratibu na sheria zilizopo za mpira na kama atahisi hatendewi haki afuate procedure

Bwege yule alidhani arapewa ushindi wa mezani kwa kurusha shilingi? Never....
 
Ukisikia watu kukosa Akali ndiko huku sasa anaomba kuongea na rais wa FIFA yeye kama nani katika soka
Sasa kwanini na wewe uone hana hiyo hadhi?
Acha ujinga wewe pimbi...huenda ni watu alitamani hata ku shake hands nao tu
 
Nahisi atamwambia....

"TFF......they closed me for two years,......the Karia is very very bad man........ Karia, he hated Me and Yanga, the big clubs in Tanzania. He breaked my brAnd........ Mister Fifa President tell Tff to open me. My childs and my family eats from the money of soccer. I love soccer."

😂😂😂
Hahahaha 😂
 
Back
Top Bottom