mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Manara anacheza namba gani uwanjani?Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga...
Manara ni zaidi ya mchezaji. Manara ni lulu inayong'ara, kama huna D 2 huwezi kuelewa hiliManara anacheza namba gani uwanjani?
Hmna kitu kama hicho hizo fikra zako tu.Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga..
Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani....
Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote...
Bado hamjachelewa lakini...
Sisi wanajimu tunaelewa umuhimu wa mtu aina ya Haji manara kwenye tabiri zetu. Yanga lazima imrudishe Manara vinginevyo anguko Lao lipo karibuManara keshakuwa Mzee babu yule. Atafute fani nyingine awaachie Gen Z kina Ali Kamwe wenye exposure na elimu. Ahamie kwenye mchezo wa draft au bao michezo ya wazee na waswahiliiii[emoji23][emoji1787]
Manara ndio ameshikilia ushindi wa Yanga, japo Yanga inashinda ila inapata tabu sana kupata magoli, jaribu kuangalia mechi zao ndio utaona hii kitu, wanam dominate mpinzani, wana create chances lakin kufunga ndo shughuliKuna clip inasamba mitandaoni akisema "nasema kwa dhati toka moyoni mwaka huu Simba atachukua ubingwa " ,naona anaanza kujikomba tena kwa Simba.
Kuna siku nilikomenti kwenye Uzi mmoja unaosema yanga wamechoka,nilijibu yanga haija xhoka ila wanasumbuliwa na mambo ya nje ya uwanja na kushari injinia awarudishe haraka wale waliomsaidia kupata makombe misimu iliyopita nilimaanisha huyu kiumbe manara,Kosa walilofanya Simba kumbeza huyu ndilo lililowaghalimu nakupoteza makombe yote na Sasa yanga wanafanya Kosa hilohilo nawaambia kibuli Chao kitawaponza,manara anajua fitina na NAMNA ya kueadhibiti makolo.Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.
Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.
Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote.
Bado hamjachelewa lakini.
Hata makolo walisema hivyohivyo Leo moyoni wanajuta sana hawasemi hadharani tu,pia usione wanavyomkebei manara na kusema mwondoeni atawaharibia timu ukafikili wanakupa ushauri wakukupenda ni wanafiki hai.Manara anacheza namba gani uwanjani?
Haswa umesema injinia kama unapita humu tendea KAZI jambo Hilo la kumrudisha manara,jamaa Bado anamchabgo mkubwa sana.Manara ni zaidi ya mchezaji. Manara ni lulu inayong'ara, kama huna D 2 huwezi kuelewa hili
Huo ni udumavu wa akili na imaniKuna siku nilikomenti kwenye Uzi mmoja unaosema yanga wamechoka,nilijibu yanga haija xhoka ila wanasumbuliwa na mambo ya nje ya uwanja na kushari injinia awarudishe haraka wale waliomsaidia kupata makombe misimu iliyopita nilimaanisha huyu kiumbe manara,Kosa walilofanya Simba kumbeza huyu ndilo lililowaghalimu nakupoteza makombe yote na Sasa yanga wanafanya Kosa hilohilo nawaambia kibuli Chao kitawaponza,manara anajua fitina na NAMNA ya kueadhibiti makolo.
Manara anakutumia?Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.
Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.
Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote.
Bado hamjachelewa lakini.
Duh, kama ni hivi hakuna haja ya timu kusajili kwa gharama, hizo pesa wampe manara tu afanye maajabu.Kuna siku nilikomenti kwenye Uzi mmoja unaosema yanga wamechoka,nilijibu yanga haija xhoka ila wanasumbuliwa na mambo ya nje ya uwanja na kushari injinia awarudishe haraka wale waliomsaidia kupata makombe misimu iliyopita nilimaanisha huyu kiumbe manara,Kosa walilofanya Simba kumbeza huyu ndilo lililowaghalimu nakupoteza makombe yote na Sasa yanga wanafanya Kosa hilohilo nawaambia kibuli Chao kitawaponza,manara anajua fitina na NAMNA ya kueadhibiti makolo.
Ama kweli wenye akili ni wawili tu huko UtopoloniKama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.
Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.
Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote.
Bado hamjachelewa lakini.
Nyie ndo wauaji wa albinoManara ni zaidi ya mchezaji. Manara ni lulu inayong'ara, kama huna D 2 huwezi kuelewa hili