Manara arudishwe haraka kabla mambo hayajaharibika

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.

Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.

Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote.

Bado hamjachelewa lakini.
 
Manara keshakuwa Mzee babu yule. Atafute fani nyingine awaachie Gen Z kina Ali Kamwe wenye exposure na elimu. Ahamie kwenye mchezo wa draft au bao michezo ya wazee na waswahiliiii😂🤣
 
Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga..

Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani....

Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote...

Bado hamjachelewa lakini...
Hmna kitu kama hicho hizo fikra zako tu.
 
Manara keshakuwa Mzee babu yule. Atafute fani nyingine awaachie Gen Z kina Ali Kamwe wenye exposure na elimu. Ahamie kwenye mchezo wa draft au bao michezo ya wazee na waswahiliiii[emoji23][emoji1787]
Sisi wanajimu tunaelewa umuhimu wa mtu aina ya Haji manara kwenye tabiri zetu. Yanga lazima imrudishe Manara vinginevyo anguko Lao lipo karibu
 
Kuna clip inasamba mitandaoni akisema "nasema kwa dhati toka moyoni mwaka huu Simba atachukua ubingwa " ,naona anaanza kujikomba tena kwa Simba.
Manara ndio ameshikilia ushindi wa Yanga, japo Yanga inashinda ila inapata tabu sana kupata magoli, jaribu kuangalia mechi zao ndio utaona hii kitu, wanam dominate mpinzani, wana create chances lakin kufunga ndo shughuli
 
Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.

Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.

Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote.

Bado hamjachelewa lakini.
Kuna siku nilikomenti kwenye Uzi mmoja unaosema yanga wamechoka,nilijibu yanga haija xhoka ila wanasumbuliwa na mambo ya nje ya uwanja na kushari injinia awarudishe haraka wale waliomsaidia kupata makombe misimu iliyopita nilimaanisha huyu kiumbe manara,Kosa walilofanya Simba kumbeza huyu ndilo lililowaghalimu nakupoteza makombe yote na Sasa yanga wanafanya Kosa hilohilo nawaambia kibuli Chao kitawaponza,manara anajua fitina na NAMNA ya kueadhibiti makolo.
 
Huo ni udumavu wa akili na imani
 
Manara anakutumia?
 
Kuna siku nilikomenti kwenye Uzi mmoja unaosema yanga wamechoka,nilijibu yanga haija xhoka ila wanasumbuliwa na mambo ya nje ya uwanja na kushari injinia awarudishe haraka wale waliomsaidia kupata makombe misimu iliyopita nilimaanisha huyu kiumbe manara,Kosa walilofanya Simba kumbeza huyu ndilo lililowaghalimu nakupoteza makombe yote na Sasa yanga wanafanya Kosa hilohilo nawaambia kibuli Chao kitawaponza,manara anajua fitina na NAMNA ya kueadhibiti makolo.
Duh, kama ni hivi hakuna haja ya timu kusajili kwa gharama, hizo pesa wampe manara tu afanye maajabu.
 
Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.

Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.

Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote.

Bado hamjachelewa lakini.
Ama kweli wenye akili ni wawili tu huko Utopoloni
 
Back
Top Bottom