mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Kama mnavyojua, huyu ndio mastermind wa mipango ya ushindi. Kifupi ni kwamba Manara ndio ameleta makombe Yanga.
Kama mtakumbuka Simba ilibeba makombe karibu yote mfululizo ila kuondoka kwa Manara ilikuwa pigo kubwa, makombe yakakauka gafla paka leo Simba iko hoi bin taabani.
Sasa kitendo cha kumuengua kwenye nafasi ya usemaji mjue mnaenda kupoteana na kupoteza makombe yote.
Bado hamjachelewa lakini.