Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Simba timu tajiri isiyolipa wafanyakazi wake stahiki zao. Kama mtu anayejulikana na wengi, Manara hakuwahi kulipwa, vipi hao watendaji wa chini mfano wafanya usafiAliye kuwa msemaji wa Simba na sasa msemaji wa Yanga Haji S Manara amesema ataishitaki Klabu ya Simba kwa kumtumikisha bila mkatab...
Unamuamini Manara ustaadh?Umekwisha!ππππSimba timu tajiri isiyolipa wafanyakazi wake stahiki zao. Kama mtu anayejulikana na wengi, Manara hakuwahi kulipwa, vipi hao watendaji wa chini mfano wafanya usafi
Unamuamini Manara ustaadh?Umekwisha!ππππ
Alikataa kujaza mkataba(kwa kauli yake mwenyewe Manara) na kutaka alipwe posho.Na alikuwa na sababu zake za gizani(sirini?)!πππππNamuamini kwasababu Simba Kama club hawajawahi kupinga tuhuma za kutomlipa stahiki yake. Pia hawajawahi kaudhihirishia kwamba walimlipa iwe kwa kutoa signed salary slips, au deposits zilizofanuwa na club kwenye account ya Manara.
Kitu ambacho sikiamini kabisa, eti Manara ni π°ππ...... Hilo ni tango mporipori
Kwanini hamkumtimua? Mwajiriwa akigoma ku sign mkataba maana yake amekataa kaziAlikataa kujaza mkataba(kwa kauli yake mwenyewe Manara) na kutaka alipwe posho.Na alikuwa na sababu zake za gizani(sirini?)!πππππ
Ni mtu mzima fulani hivi hajatulia kichwani.ππππHivi manara ni nani katika soka la Tanzania mpaka apewe attention kiasi hiki?
Mtoto wa computer. Sijui ni tablet?Hivi manara ni nani katika soka la Tanzania mpaka apewe attention kiasi hiki?
Waliishi naye kwa akili.Rejea vitabu vingi tu vya dini ninavyonasihi kuhusu saba mara SABINI na kuhusu kuishi "nao"!πππππKwanini hamkumtimua? Mwajiriwa akigoma ku sign mkataba maana yake amekataa kazi
Maandiko hayohayo yamekataza kumtumikisha mtu bila ujira.Waliishi naye kwa akili.Rejea vitabu vingi tu vya dini ninavyonasihi kuhusu saba mara SABINI na kuhusu kuishi "nao"!πππππ
Lakini alipotaka shati alipewa hadi msuli.Alivyomtombokea Barbara akaachwa aseme mingi juu ya Mo!Maandiko hayohayo yamekataza kumtumikisha mtu bila ujira.
Hebu ongeza nyama kidogoLakini alipotaka shati alipewa hadi msuli.Alivyomtombokea Barbara akaachwa aseme mingi juu ya Mo!
Alikuwa akipewa mema mengi zaidi ya posho ya mwisho wa mwezi ndiyo maana hakulia njaa.Aliachwa afanye ya ziada ajipatie tende zaidi.Na Uhuru mwingi kama gunia salasini na sita!ππππππHebu ongeza nyama kidogo
Asicholofikiria ni baada ya Yanga kukchoka, nini itakua hatma yake? Unapokosana na bosi mmoja na kuhamia kwa mwingine kisha ukaitumia nafasi hiyo kumsema bosi mpya unajitengenezea furushi la tafakari kwa muajiri wako mpya, kama "iwapo amewwza kunipa siri za mwajiri wa zamani, atashindwa kunisema siku nikimuachisha kazi?" Mwisho manara ataishia sebuleni wakati wenzie wako chumbani wakijadili mambo nyeti kwakua hataaminika.Kabisa. Kuacha au kuhama kazi ni jambo la kawaida na huna sababu ya kuendelea kuiandama sehemu uliyohama. Anatakiwa ajipange aangalie mbele mambo gani ya ubunifu atayafanya kwa muajiri wa sasa.
Kufanya hivyo ni kumpa kiki. Kama anayoyasema ni kweli, mbona asianzie mahakamani kisha aje na uthibitisho wa mahakama kuwakuta simba na hatia? Kuanza kumkimbiza mwehu aliyenyakua nguo zako ukiwa unaoga angali uko uchi na yeye amevaa nguo, ni kuuambia umma unaokutazama kwamba nawe umeingia kwenye kundi la vichaa. Kujibu tuhuma za manara ambazo hazipo kisheria ni kuzidi kumpandisha zaidi kwasababu atazidi kupata jina. Kumpuuza ni akili kubwa sana jambo ambalo hata manara mwenyewe linamuumiza, anatamani wamjibu ili apate wakumfuatilia zaidi.Namuamini kwasababu Simba Kama club hawajawahi kupinga tuhuma za kutomlipa stahiki yake. Pia hawajawahi kaudhihirishia kwamba walimlipa iwe kwa kutoa signed salary slips, au deposits zilizofanuwa na club kwenye account ya Manara.
Kitu ambacho sikiamini kabisa, eti Manara ni [emoji617][emoji169][emoji172]...... Hilo ni tango mporipori
Ukipata nafasi, naomba usome "waefeso 6:5..." na kuendelea kisha uje na andiko linaloonesha ni wapi mtumwa ana haki.Maandiko hayohayo yamekataza kumtumikisha mtu bila ujira.
Changamoto ya Manara ni kupenda "kuchambana" kama akina mama wanachagua mchele.Kuna ile clip anamwambia Barbara..."nikome"..!Nikaona ohooo,bora nikaangalie ndondo cup!πππππKufanya hivyo ni kumpa kiki. Kama anayoyasema ni kweli, mbona asianzie mahakamani kisha aje na uthibitisho wa mahakama kuwakuta simba na hatia? Kuanza kumkimbiza mwehu aliyenyakua nguo zako ukiwa unaoga angali uko uchi na yeye amevaa nguo, ni kuuambia umma unaokutazama kwamba nawe umeingia kwenye kundi la vichaa. Kujibu tuhuma za manara ambazo hazipo kisheria ni kuzidi kumpandisha zaidi kwasababu atazidi kupata jina. Kumpuuza ni akili kubwa sana jambo ambalo hata manara mwenyewe linamuumiza, anatamani wamjibu ili apate wakumfuatilia zaidi.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app