Manara asema ataishitaki Simba

Manara asema ataishitaki Simba

Aliye kuwa msemaji wa Simba na sasa msemaji wa Yanga Haji S Manara amesema ataishitaki Klabu ya Simba kwa kumtumikisha bila mkatab...
Simba timu tajiri isiyolipa wafanyakazi wake stahiki zao. Kama mtu anayejulikana na wengi, Manara hakuwahi kulipwa, vipi hao watendaji wa chini mfano wafanya usafi
 
Namuamini kwasababu Simba Kama club hawajawahi kupinga tuhuma za kutomlipa stahiki yake. Pia hawajawahi kaudhihirishia kwamba walimlipa iwe kwa kutoa signed salary slips, au deposits zilizofanuwa na club kwenye account ya Manara.

Kitu ambacho sikiamini kabisa, eti Manara ni 🔰💛💚...... Hilo ni tango mporipori
Unamuamini Manara ustaadh?Umekwisha!😂😂😂😂
 
Namuamini kwasababu Simba Kama club hawajawahi kupinga tuhuma za kutomlipa stahiki yake. Pia hawajawahi kaudhihirishia kwamba walimlipa iwe kwa kutoa signed salary slips, au deposits zilizofanuwa na club kwenye account ya Manara.

Kitu ambacho sikiamini kabisa, eti Manara ni 🔰💛💚...... Hilo ni tango mporipori
Alikataa kujaza mkataba(kwa kauli yake mwenyewe Manara) na kutaka alipwe posho.Na alikuwa na sababu zake za gizani(sirini?)!😂😂😂😂😂
 
Kabisa. Kuacha au kuhama kazi ni jambo la kawaida na huna sababu ya kuendelea kuiandama sehemu uliyohama. Anatakiwa ajipange aangalie mbele mambo gani ya ubunifu atayafanya kwa muajiri wa sasa.
Asicholofikiria ni baada ya Yanga kukchoka, nini itakua hatma yake? Unapokosana na bosi mmoja na kuhamia kwa mwingine kisha ukaitumia nafasi hiyo kumsema bosi mpya unajitengenezea furushi la tafakari kwa muajiri wako mpya, kama "iwapo amewwza kunipa siri za mwajiri wa zamani, atashindwa kunisema siku nikimuachisha kazi?" Mwisho manara ataishia sebuleni wakati wenzie wako chumbani wakijadili mambo nyeti kwakua hataaminika.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Namuamini kwasababu Simba Kama club hawajawahi kupinga tuhuma za kutomlipa stahiki yake. Pia hawajawahi kaudhihirishia kwamba walimlipa iwe kwa kutoa signed salary slips, au deposits zilizofanuwa na club kwenye account ya Manara.

Kitu ambacho sikiamini kabisa, eti Manara ni [emoji617][emoji169][emoji172]...... Hilo ni tango mporipori
Kufanya hivyo ni kumpa kiki. Kama anayoyasema ni kweli, mbona asianzie mahakamani kisha aje na uthibitisho wa mahakama kuwakuta simba na hatia? Kuanza kumkimbiza mwehu aliyenyakua nguo zako ukiwa unaoga angali uko uchi na yeye amevaa nguo, ni kuuambia umma unaokutazama kwamba nawe umeingia kwenye kundi la vichaa. Kujibu tuhuma za manara ambazo hazipo kisheria ni kuzidi kumpandisha zaidi kwasababu atazidi kupata jina. Kumpuuza ni akili kubwa sana jambo ambalo hata manara mwenyewe linamuumiza, anatamani wamjibu ili apate wakumfuatilia zaidi.

Changamoto ya Manara ni kupenda "kuchambana" kama akina mama wanachagua mchele.Kuna ile clip anamwambia Barbara..."nikome"..!Nikaona ohooo,bora nikaangalie ndondo cup!😂😂😂😂😂
 
Mhindi akulipe uneemeke, wafanyakaz wake tu wa viwanda vyake choka mbaya, Maisha duni, wanamzalishia mivitenge, Kama wamevurugwa, tunao mitaani na tunaishi nao, sembuse mpiga Domo wa timu.
 
Back
Top Bottom