Manara asema ataishitaki Simba

Njaa inanyemelea ukiona leo kasema hivi kesho kageuka hivi ipo shida na huenda hapati alichokua akitarajia
Yawezekana.Maana mtu anayepata utulivu wa akili na mwili asingependa usumbufu.Vinginevyo atakuwa na tabia za ugomvi tu.
 
Hakuna hata mmoja aliyezungumzia hayo madai yake ya kufanyishwa kazi bila mkataba miaka 6 zaidi ya kumlaumu hapo napo kuna tatizo.
Na alithibitisha kuwa, ni kweli mke wake yupo kwao, kwani kuna KAMKWALUZO kidogo kalitokea, lakini HAWAJAACHANA!
 
Haji Lopo lopo Manara
 
Kweli jamaa hizo sifa anazo tafuta ndizo zitamshushia sifa.
 
Hakuna hata mmoja aliyezungumzia hayo madai yake ya kufanyishwa kazi bila mkataba miaka 6 zaidi ya kumlaumu hapo napo kuna tatizo.
Jamaa ana penda sifa sana yaani mpaka anakela
 
Mgema pombe katia maji
 
Njaa inanyemelea ukiona leo kasema hivi kesho kageuka hivi ipo shida na huenda hapati alichokua akitarajia
Jamaa anataka kuwa anafuatiliwa
 
Simba SC kama klabu kubwa ukanda wa Afrika Mashariki, Kati, na Kusini mwa jangwa la Sahara haiyafanyii kazi malalamiko ya mitandaoni au redioni, Manara alizoea kuuza sura mitandaoni ndio maana akakimbilia huko kuropoka akafukuzwa kazi, kama anadai aandike barua kwa uongozi wa Simba SC.
 
Ataishitaki kwa minajili ipi? Yeye alikuwa Kibarua tu. Alipolialia akapewa option asainishwe 4m kwa mwezi ila asifanye mikataba kokote kule akaona ngoma ngumu akaendelea kupokea posho!

Sasa leo hii anapata wapi nguvu za kuishtaki Simba?
 
Mwanaume kusema "Nitatoa siri ya taasisi fulani au ya mtu fulani" ni aibu na pia ni fedheha kubwa kubwa sana,

Huyu jamaa yupo njiani kupotea na mdomo ndio utakaomponza,
Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…