mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Misukule pekee ndio ufanya kazi bila mkataba,je yeye ni nsukule?Hakuna hata mmoja aliyezungumzia hayo madai yake ya kufanyishwa kazi bila mkataba miaka 6 zaidi ya kumlaumu hapo napo kuna tatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misukule pekee ndio ufanya kazi bila mkataba,je yeye ni nsukule?Hakuna hata mmoja aliyezungumzia hayo madai yake ya kufanyishwa kazi bila mkataba miaka 6 zaidi ya kumlaumu hapo napo kuna tatizo.
Yawezekana.Maana mtu anayepata utulivu wa akili na mwili asingependa usumbufu.Vinginevyo atakuwa na tabia za ugomvi tu.Njaa inanyemelea ukiona leo kasema hivi kesho kageuka hivi ipo shida na huenda hapati alichokua akitarajia
Na alithibitisha kuwa, ni kweli mke wake yupo kwao, kwani kuna KAMKWALUZO kidogo kalitokea, lakini HAWAJAACHANA!Hakuna hata mmoja aliyezungumzia hayo madai yake ya kufanyishwa kazi bila mkataba miaka 6 zaidi ya kumlaumu hapo napo kuna tatizo.
Haji Lopo lopo ManaraAliye kuwa msemaji wa Simba na sasa msemaji wa Yanga Haji S Manara amesema ataishitaki Klabu ya Simba kwa kumtumikisha bila mkataba.
Manara ameyasema hayo akiwa anafanyiwa mahojiano na Divathebawse kwenye kipindi cha lovedavi cha Wasafi FM. Manara amesema Klabu ya simba ilimtumikisha kwa zaidi ya miaka 6 pasipo kuwa na mkataba hivyo ataishitaki club hiyo.
Manara ameongeza kwa kusema ataishitaki club hiyo baada ya kutoka kwenye mechi zake za club bingwa, pia amesema yeye ndiye alie fanya Simba ifahamike kwa kuwavuta mashabiki wengi kushabikia Simba.
Pia Manara amesema ndani ya simba kuna watu wanao mpa taarifa ya yanayo jilisababu kuna watu wanamfuatilia Manara.
Ameendelea kwa kusema simba imemuhujumu sana hadi kuingilia baadhi ya biashara zake za ubalozi wa makampuni, pia amesema ana siri nyingi za simba ambazo hata robo hajawahi kuzisema hivyo ipo siku siri hizo atazitoa hivyo ikifika muda huo siri zote atazitoa labda wamuuwe lakini kama yupo hai atazisema.
Alikuwa anaitwa asaini mkataba akawa anarukaruka tu, yeye mwenyewe aliwezaje kufanya kazi zaidi ya miezi 6 bila mkataba?Hakuna hata mmoja aliyezungumzia hayo madai yake ya kufanyishwa kazi bila mkataba miaka 6 zaidi ya kumlaumu hapo napo kuna tatizo.
Kweli jamaa hizo sifa anazo tafuta ndizo zitamshushia sifa.Mimi sio Simba wala Yanga,wala sio shabiki wa Mpira wa miguu ila kwa haya anayofanya Haji ni kama anatafuta watu wamdhalilishe kwa nguvu.
Anatishia kutoa siri za watu wakati yeye mwenyewe anajijua alivyo mchafu,watu wakianza kusema yake sijui uso wake ataweka wapi!!.
Kama anahisi anawajua sana watu na siri zao,basi ajue na yeye yake watu wanayajua vizuri.
Watu wanasemaga “msenge” hana mkole kumbe ni kweli!
Manara anasema hajawahi kulipwa au hajawahi pewa mkataba?Simba timu tajiri isiyolipa wafanyakazi wake stahiki zao. Kama mtu anayejulikana na wengi, Manara hakuwahi kulipwa, vipi hao watendaji wa chini mfano wafanya usafi
Lengo lake ni kuwa heading kwenye mitandaoni kitu ambacho kitamshushia sifa.Manara ni msemaji wa Yanga lakini anaisema Simba badala ya kufanya kilichomlpeleka yanga
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Mgema pombe katia majiAliye kuwa msemaji wa Simba na sasa msemaji wa Yanga Haji S Manara amesema ataishitaki Klabu ya Simba kwa kumtumikisha bila mkataba.
Manara ameyasema hayo akiwa anafanyiwa mahojiano na Divathebawse kwenye kipindi cha lovedavi cha Wasafi FM. Manara amesema Klabu ya simba ilimtumikisha kwa zaidi ya miaka 6 pasipo kuwa na mkataba hivyo ataishitaki club hiyo.
Manara ameongeza kwa kusema ataishitaki club hiyo baada ya kutoka kwenye mechi zake za club bingwa, pia amesema yeye ndiye alie fanya Simba ifahamike kwa kuwavuta mashabiki wengi kushabikia Simba.
Pia Manara amesema ndani ya simba kuna watu wanao mpa taarifa ya yanayo jilisababu kuna watu wanamfuatilia Manara.
Ameendelea kwa kusema simba imemuhujumu sana hadi kuingilia baadhi ya biashara zake za ubalozi wa makampuni, pia amesema ana siri nyingi za simba ambazo hata robo hajawahi kuzisema hivyo ipo siku siri hizo atazitoa hivyo ikifika muda huo siri zote atazitoa labda wamuuwe lakini kama yupo hai atazisema.
Simba SC kama klabu kubwa ukanda wa Afrika Mashariki, Kati, na Kusini mwa jangwa la Sahara haiyafanyii kazi malalamiko ya mitandaoni au redioni, Manara alizoea kuuza sura mitandaoni ndio maana akakimbilia huko kuropoka akafukuzwa kazi, kama anadai aandike barua kwa uongozi wa Simba SC.Namuamini kwasababu Simba Kama club hawajawahi kupinga tuhuma za kutomlipa stahiki yake. Pia hawajawahi kaudhihirishia kwamba walimlipa iwe kwa kutoa signed salary slips, au deposits zilizofanuwa na club kwenye account ya Manara.
Kitu ambacho sikiamini kabisa, eti Manara ni [emoji617][emoji169][emoji172]...... Hilo ni tango mporipori
Tabia ya wabongo kupenda udaku ndio inayompa kiki Manara, kwenye nchi zilizoendelea Manara angeshtakiwa kwa kupigia watu makelele.Hivi manara ni nani katika soka la Tanzania mpaka apewe attention kiasi hiki?
Aliamua kujitolea kufanya kazi bila malipo. Wapo wengi tu wamejitolea kufanya kazi bila malipo, wengine ni hawa walioenda kusafisha kiwanja cha Bunju enzi hizo kikiwa na vichakaKwanini hamkumtimua? Mwajiriwa akigoma ku sign mkataba maana yake amekataa kazi