sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Watu naona wanakimbilia kusema Manara aliruhiana maneno na karia lakini wanasau hilo neno "kurushiana" ni kitenzi cha kutendana maana nae karia alikuwa akirusha maneno.
Wengi tunafahamu Karia ni Simba dam dam na mafanikio ya Yanga kwake yamekuwa ni sawa na kisu kilichomgonga mfupa. siku ya jana tumeona clip ambayo nae pa alikuwa akimkaripia Manara, Kwaninii hili halizungumziwi ? au kwa sababu yeye ni raisi ? Tena Wadau waliokuwepo karibu yao wanadai kwamba Karia ndie alianzisha varangati kwa kushindwa kujizuia kuficha hisia zake za chuki dhidi ya Yanga ndio maana hata video ilikatwa ili ionyeshe sehemu wanayorushiana maneno walikata kipande cha ukorofi wa Karia.... Hivyo Tume ya Maadili imuite karia pia ajitetee kwa kukaripia Manara.
Ila kuhusu Manara kufungiwa hilo mlisahau (Hasa mashabiki wa Simba wanaogongwa kisawasawa na maneno ya kukera ya Manara)
sana sana atapigwa faini ya milioni 10 mambo yataisha fasta, ikienda zaidi basi ni adhabu ya kutojihusisha na soka kwa mwezi na hapo ni kabla hata ya yanga day.
Manara akiguswa ni yang imeguswa ohoo! ana backup nzito nzito mfano kutoka kwa tajiri gsm ambae pesa za udhamini wake wa bilioni 2 zinawanenepesha tff, kina Kikwete nao pia watamwambia Karia atulie tu maana hio nafasi hajajiweka hapo , n.k.
kusubiri Manara kufunguwa ni sawa na kusubiri kuvuna mpunga kwenye magugu.