Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

1660301412584.png
 
Manara noma sana. Ambao hawajui profession ya manara ndo hukaa kumponda mara hana akiba ya maneno mara blahbla nyng, ila huyo jamaa hio ndo kazi yake.

Yeye mwenyewe kasema, Lobbying(Kushawishi) ndo kazi yake. "Kuingia hapa, kusema hv, kuongea hiki, kutokea hapa etc....." yote ni ilimradi mambo yaende.
 
Manara noma sana. Ambao hawajui profession ya manara ndo hukaa kumponda mara hana akiba ya maneno mara blahbla nyng, ila huyo jamaa hio ndo kazi yake. Yy mwenyewe kasema, Lobbying(Kushawishi) ndo kazi yake. "Kuingia hapa, kusema hv, kuongea hiki, kutokea hapa etc....." yote ni ilimradi mambo yaende.
Nimekuelewa mkuu
 
Hivi akiisikiliza hii clip anajisikiaje wakati huu!
 
Hivi akiisikiliza hii clip anajisikiaje wakati huu!
Hawezi kujisikia vyovyote vile vibaya. Hakukosea chochote, ni ukweli unaosimama bayana hadi sasa.
Akikana kwa hili Kama alivyokana kuwa hakuwahi kusema kwamba Simba ni Club kubwa, na kwamba pengine alikuwa amelewa, basi ana matatizo ya akili yasiyoweza kutibika.
 
Back
Top Bottom