Manara hajawahi kushiriki matamasha ya walemavu wa ngozi na hataki kutoa ushirikiano anapohitajika

Manara hajawahi kushiriki matamasha ya walemavu wa ngozi na hataki kutoa ushirikiano anapohitajika

Hataki kufanya ulemavu wake kama fursa
Yeye asifanye kama fursa lakini maisha ya kibongo, ukitoboa unawaokoa wenzako. Kwa ushawishi alokuwa nao ndo angekuwa mtetezi wao namba Moja. Huwezi kuwa nyani wakati wewe ni bundi.
 
Lakini huwa akitaitiwa anasema anasemwa kwa sababu yeye ni albino
Wakati mwingine kutafuta kauchochoro ka kutokea ni kawaida. Sio yeye tu ni kila binadamu regardless of age or physical traits.

Ulishawahi kumdaka mwanao mdogo vimashavu vikiwa na punje za sukari? Hawajawahi kukosa sababu!
 
Hahaha, kuna mzee kwetu Ana kitu kama nundu mgongoni sijui ndio kibiongo. Walemavu walitafutwa ili wapewe machine ya kusaga nafaka, jamaa alikataa katakana yeye si mlemavu, anasema hawezi kuwa mlemavu wakati anabeba gunia, wenzake walivyopewa mashine jamaa akataka ajiunge nao tena kwa nguvu akapigwa China.
 
Kwasasa amepotea kwenye ramani ya soka, ni heri akawe msemaji wa wao to
 
Back
Top Bottom