Manara kabadilika sana

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau wa sports hasa football Hamjambo !

Nimefuatilia hulka ya msemaji mpya wa club ya Yanga, nimejaribu kulinganisha na hulka zake kipindi yupo kwa mwajir wake wa zaman Simba SC, nimegundua utofauti mkubwa Sanaa ktk utendaj wake wa kazi

Siku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda redion kuongelea klabu yake ya sasa pamoja na kuponda wengine

Pia siku izi amekuwa NI mtu wa kurusha tu vijembe mtandaoni ..yaan ni ana tumia mitandao ya kijamii zaidi


My take
Huenda ikawa mwajiri mpya amempa TORs ambazo NI tight sanaaa au ana mueshimu zaidi mwajiri wake wa sasa kuliko ambavyo alikuwa ana mueshimu mwajiri wake wa zamani
 
Njia mbili zilimshinda fisi.
 
Umaarufu wenye umeporomoka Bora angejinyamaziaga kimya kulinda heshima yake, na hata huko Yanga watamtimua tu baada ya mda
 
Yanga ni Taasisi kubwa Sana kazi zinafanywa kwa umakini. Ikifika muda wa kumtumia Haji ataonekana, kila Jambo Lina wakati wake.
 
Kukodi ukumbi serena kufanya press ni milioni tano,atazitoa wapi utopwinyo,kurusha mtandaoni ni bando la buku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…