Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee! Unasema kweli 😮Mkataba wake na Yanga unaisha mwezi huu Na wamekataa kumuongezea! Zeruzeru atakua kitimoto.
... kwa hiyo kakutana na mabaki ya pilau kwa wingi anafakamia bila kelele?Chizi ni yuleyule ila jalala ndio jipya.
Walimbagua asikanyage kambini, wakati wa maandalizi ya mechi ya Simba na Yanga. Hivyo amekosa furaha ya uwepo wake hapo Utopoloni.Pia jamaa haonekani kabisa mechi za mikoani. Sijui anaogopa nini.
Manara kajishtukia juhudi zote alizokuwa anafanya kuwachokonoa viongozi wa Simba wanamjibu kwa kimya.kila akijalibu jipya wanampuuza,hata hivyo vituo vya redio havitaki Tena kumpa ear time Tena Mana navyo vimepuuzwa.
We manara humjui na tanga huijui so nenda chooni ukanyeWadau wa sports hasa football Hamjambo !
Nimefuatilia hulka ya msemaji mpya wa club ya Yanga, nimejaribu kulinganisha na hulka zake kipindi yupo kwa mwajir wake wa zaman Simba SC, nimegundua utofauti mkubwa Sanaa ktk utendaj wake wa kazi
Siku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda redion kuongelea klabu yake ya sasa pamoja na kuponda wengine
Pia siku izi amekuwa NI mtu wa kurusha tu vijembe mtandaoni ..yaan ni ana tumia mitandao ya kijamii zaidi
My take
Huenda ikawa mwajiri mpya amempa TORs ambazo NI tight sanaaa au ana mueshimu zaidi mwajiri wake wa sasa kuliko ambavyo alikuwa ana mueshimu mwajiri wake wa zamani
Amekuja kwenye timu ya watu wastaarabu. Kule Simba mara utasikia Mo kavishwa kanga, Matola kabeba hirizi , Mwijaku aitisha maandamano ya kutembea uchi,mara Babra anataka kupigana na walinzi wa uwanjani.Yanga mambo yanaenda kisomi. Mambo ya kupiga kelele kama walevi wa ulanzi alishasahau.Wadau wa sports hasa football Hamjambo !
Nimefuatilia hulka ya msemaji mpya wa club ya Yanga, nimejaribu kulinganisha na hulka zake kipindi yupo kwa mwajir wake wa zaman Simba SC, nimegundua utofauti mkubwa Sanaa ktk utendaj wake wa kazi
Siku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda redion kuongelea klabu yake ya sasa pamoja na kuponda wengine
Pia siku izi amekuwa NI mtu wa kurusha tu vijembe mtandaoni ..yaan ni ana tumia mitandao ya kijamii zaidi
My take
Huenda ikawa mwajiri mpya amempa TORs ambazo NI tight sanaaa au ana mueshimu zaidi mwajiri wake wa sasa kuliko ambavyo alikuwa ana mueshimu mwajiri wake wa zamani
Hili ndio jibu sahihiNafasi aliokuwa nayo Simba pale Yanga anayo mtu mwengine (Bumbuli). Press zote zinazohusu mechi na matukio muhimu anafanya Bumbuli. Manara ni kama Mzaramo au Bi Hindu wa simba.
😂😂Ear time?
Muhimu kuishi na akili na hawa wasaliti.Walimbagua asikanyage kambini, wakati wa maandalizi ya mechi ya Simba na Yanga. Hivyo amekosa furaha ya uwepo wake hapo Utopoloni.
Mkuu huyu ni mtoto wa NdalichakoEar time?
anaogopa maswali, na hata ile press ya mara ya mwisho alisema sitaki maswali, kwa kuwa anajua vitu vingi hana majibu yake. Lakini pia ana mgongano wa maslahi katika bidhaa zake na za klabu yake. Kuna siku alilazimika kubandua label ya maji ya Afya yanayodhamini klabu yake ili asipoteze udhamini wa maji ya Uhai yanayomdhamini yeyeSiku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda redion kuongelea klabu yake ya sasa pamoja na kuponda wengine