Manara kabadilika sana

Manara kabadilika sana

Wadau wa sports hasa football Hamjambo !

Nimefuatilia hulka ya msemaji mpya wa club ya Yanga, nimejaribu kulinganisha na hulka zake kipindi yupo kwa mwajir wake wa zaman Simba SC, nimegundua utofauti mkubwa Sanaa ktk utendaj wake wa kazi

Siku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda redion kuongelea klabu yake ya sasa pamoja na kuponda wengine

Pia siku izi amekuwa NI mtu wa kurusha tu vijembe mtandaoni ..yaan ni ana tumia mitandao ya kijamii zaidi

My take
Huenda ikawa mwajiri mpya amempa TORs ambazo NI tight sanaaa au ana mueshimu zaidi mwajiri wake wa sasa kuliko ambavyo alikuwa ana mueshimu mwajiri wake wa zamani
Amegundua Lopolopo zake hazina madhara kwa Simba, zaidi ya kwamba anajidhalilisha tu Mwenyewe.
 
Ni kweli Manara huyu sio yule wa Simba.
Kiukweli kabisa Simba ajawai kushindwa vita.
Yupo kwenye timu kiongozi.
Toka umepata uelewa ulishawahi sikia chuo kikuu mzumbe wanafunzi wamegoma au kuandamana,ukilinganisha kama vyuo vingine?

Hebu fuatilia uanzishwaji wa hizo timu na watu wa aina ganibwaliozianzisha

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Yanga ni Taasisi kubwa Sana kazi zinafanywa kwa umakini. Ikifika muda wa kumtumia Haji ataonekana, kila Jambo Lina wakati wake.
Taasisi kubwa ukiilinganisha na ipi?..KMC au MTIBWA
 
Ndio ujue kuna utofauti mkubwa wa YANGA na Simba. Yanga wanafanya kazi zao kwa kufuata utaratibu na sheria. Huku hakuna mambo ya kuropoka ropoka. Hakuna mambo ya kudharirisha wengine
Kabwili fc sheria zipi? Wanababaisha tu hawawezi zungumza na mchezaji kuvunja mkataba wa timu yake alafu Umemsaini kwa vile Azam fc waungwana
 
Kabwili fc sheria zipi? Wanababaisha tu hawawezi zungumza na mchezaji kuvunja mkataba wa timu yake alafu Umemsaini kwa vile Azam fc waungwana
Hapo watakuwa wamekuelewa mikia wenzio tu. Mbona unaongea kirivas rivas. Tulia andika vizuri
 
Ndio ujue kuna utofauti mkubwa wa YANGA na Simba. Yanga wanafanya kazi zao kwa kufuata utaratibu na sheria. Huku hakuna mambo ya kuropoka ropoka. Hakuna mambo ya kudharirisha wengine
wakati ule mnaropoka mshamalizana na chama hadi mwakalebera akaomba msamaha au mlivyokuwa mnaropoka morison ni mchezaji wenu hadi mkadondokea pua cas ilikuwa yanga ipi.
 
wakati ule mnaropoka mshamalizana na chama hadi mwakalebera akaomba msamaha au mlivyokuwa mnaropoka morison ni mchezaji wenu hadi mkadondokea pua cas ilikuwa yanga ipi.
Hata hapo tu ulipoandika kuna utofauti mkubwa kati ya YANGA ninayoimanisha na hiyo yanga yako
 
Back
Top Bottom