Manara kabadilika sana

Haji bado ni mwanachama wa Simba.
Jana nimesikia kashachangia mchango wake kwa ajili ya ujenzi wa uwanja mpya.
 
Manara kajishtukia juhudi zote alizokuwa anafanya kuwachokonoa viongozi wa Simba wanamjibu kwa kimya.kila akijalibu jipya wanampuuza,hata hivyo vituo vya redio havitaki Tena kumpa ear time Tena Mana navyo vimepuuzwa.

Unamjibu Je mtu ana 800kg?
 
We manara humjui na tanga huijui so nenda chooni ukanye

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Amekuja kwenye timu ya watu wastaarabu. Kule Simba mara utasikia Mo kavishwa kanga, Matola kabeba hirizi , Mwijaku aitisha maandamano ya kutembea uchi,mara Babra anataka kupigana na walinzi wa uwanjani.Yanga mambo yanaenda kisomi. Mambo ya kupiga kelele kama walevi wa ulanzi alishasahau.
 
Kule alikuwa ananyweshwa konyagi na muhindi afu anatumwa kuwatukana wananchi kwenye media, GSM hana huo uhuni ndo maana sasa unaona katulia.
 
Siku izi hakurupuki ovyo kuitisha press Wala kwenda redion kuongelea klabu yake ya sasa pamoja na kuponda wengine
anaogopa maswali, na hata ile press ya mara ya mwisho alisema sitaki maswali, kwa kuwa anajua vitu vingi hana majibu yake. Lakini pia ana mgongano wa maslahi katika bidhaa zake na za klabu yake. Kuna siku alilazimika kubandua label ya maji ya Afya yanayodhamini klabu yake ili asipoteze udhamini wa maji ya Uhai yanayomdhamini yeye
 
Ameshtukiwa na kila Mtu.

TFF wamemshtukia kutaka kuleta sintofahamu kwenye mpira wa Tanzania.
Yanga. wamemshtukia kutaka kuwaendesha kwa kufanya matukio na kushauri mapambano dhidi ya MO bila maslahi ya Club na mpira
Wawekezaji. Kutaka kuwagombanisha kwa Maslahi yake binafsi na kuchafua Brands za Makampuni ya Matajiri
AZAM. Kuhatarisha Brands zake za Biashara kwa Wateja wao kwa kutaka kumuendekeza Haji. Somo la Mvutano wa Simba na Azam Media limetosha hadi AZAM Media Wakakubali yaishe ili kurusha mechi za Simba za Kimataifa.

Ni hayo tu. Simba ilikuwa ndio inamuweka Manara kuwa Haji. Muda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…