Manara kapigilia pale pale kwenye Msumari wa Master Jay kuwa Alikiba ni mbana pua

Manara kapigilia pale pale kwenye Msumari wa Master Jay kuwa Alikiba ni mbana pua

Mleta mada ww ni mpumbavu na mpuuzi sijapata kuona, next time acha kuleta thread za hovyo kama hizi.
Watu kama nyie mmevurugwa na maisha kila kitu kinakutia hasira,sasa hii ni habari ya celebrities kama unaona haikufai si kuna forums zingine mkuu.
 
Kubana pua tu watu wanabana mpaka makoo na makalio kwenye kuimba na wametoboa

Kuna watu walitumia Autotune mambele huko na wakabamba mbaya.

Mjini akili ikiwezekana hata roho ya mtu ukiweka unatoboa itumike tu.
Muda wa kuishi ni mfupi unateseka na pressure za nini?

Msanii ukiona hata popobaya anatumika kutoka kimziki litumie.
 
zeruzeru flani hivi huko mjini daslam, hana kazi maalum ya kufanya lakini kazi yake kubwa ni kuwapa ndoa madada wa mjini achangiwe mkono uende kinywani

Una tatizo la inferiority complex you feel happy when you talk negative about people .
 
Back
Top Bottom