Manara: Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi

Manara ni kama madem wa kihehe tuu.
Utaskia ndimgaya sidaa wakati kajawa na minyege akitekenywa kidogo tuu anabadili msemmoπŸ™‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Utaskia we niangusage tuuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Hata yeye hajui anachokitaka. Anatafuta media coverage na sisi tupo bize na Kukatwa kwa chadema na jamaa yetu mwamba wa Equatorial Guinea.
BARTHAZAR
 
Vyovyote vile, Hersi alikosea sana kuongea vile. Kuna mambo unatakiwa kutumia busara kuyahandle, ile ilikuwa kumdhalilisha Manara wakati alikuwa anaipambania klabu.

Sawa, baada ya adhabu ya kufungiwa Manara alibaki kama mwanachama ndani ya klabu, kwanini hakuitisha kikao cha ndani kuliweka hilo sawa?
Au kwanini asingeongea na Manara kumfahamisha hilo kama boss wa klabu na badala yake akaenda kuongea hivyo kwenye media?
 
β€œKwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi. Sina la kuongea nae maana yeye alisema mimi ni Mwanachama tu hivyo siwezi kumtafuta nalinda brand yangu”

β€œTulikuwa β€˜very close’, Yeye ndiyo alisema mimi ni Mwanachama na Kutokana na mazingira unakaa pembeni unatazama tu maana Yanga ni taasisi na sio mtu” β€”β€” Haji Manara
View attachment 3147843
Manara ndio kaipa mafanikio Uto...😜😜😜

Nifah zipompa Tate Mkuu redio Scars Kalpana Tsh DR Mambo Jambo .....
 
Vyovyote vile, Hersi alikosea sana kuongea vile. Kuna mambo unatakiwa kutumia busara kuyahandle, ile ilikuwa kumdhalilisha Manara wakati alikuwa anaipambania klabu.
Vyovyote iwavyo ilikua ni kosa kubwa sana kumchukua bwana yule, na nimejifunza pia nikimchukua mtu alafu akaanza blah blah kule nilikua napewa maharagwe ya chumvi sijui nakula chakula cha mbuzi namkata mikofi alafu nafukuza,
Alichokifanya Eng wa mchongo ni baada ya kugundua makosa yake akaamua amuweke pembeni, lakini wamechelewa na kama huamini huu mwezi hauishi atayamwaga
 
Umeshamalizana na mo sasaa umeamia Kwa hersi...mwishowe baada yakumaliza kugombana nao hakikisha uwe na pakudondokea mkuu manara
 
Vyovyote vile, Hersi alikosea sana kuongea vile. Kuna mambo unatakiwa kutumia busara kuyahandle, ile ilikuwa kumdhalilisha Manara wakati alikuwa anaipambania klabu.

Sawa, baada ya adhabu ya kufungiwa Manara alibaki kama mwanachama ndani ya klabu, kwanini hakuitisha kikao cha ndani kuliweka hilo sawa?
Au kwanini asingeongea na Manara kumfahamisha hilo kama boss wa klabu na badala yake akaenda kuongea hivyo kwenye media?
Umeongea pumba na kwa woga. Nyie ndo mnapa kichwa manara. Anajiona yeye ndo mkubwa kuliko Yanga. Sasa alichokosea Hersi hapo ni nini? Manara siyo mwanachama wa kawaida? Aitishe kikao cha nini? Acheni ujinga na imani zenu za kipumbavu. Kama unampenda Manara kaoelewe naye. Manara kaikuta Yanga na ataiacha.
 
β€œKwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi. Sina la kuongea nae maana yeye alisema mimi ni Mwanachama tu hivyo siwezi kumtafuta nalinda brand yangu”

β€œTulikuwa β€˜very close’, Yeye ndiyo alisema mimi ni Mwanachama na Kutokana na mazingira unakaa pembeni unatazama tu maana Yanga ni taasisi na sio mtu” β€”β€” Haji Manara
View attachment 3147843
Nimesha ukumbuka ule msemo wawazee wetu usiache mbachao kwa msara upitaoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Back
Top Bottom