Manara: Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi

Manara: Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi

Huyu Jamaa ni Kirusi nashangaa walishindwaje kumjua mapema...Mo alishaona humu hamna mtu
 
“Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi. Sina la kuongea nae maana yeye alisema mimi ni Mwanachama tu hivyo siwezi kumtafuta nalinda brand yangu”

“Tulikuwa ‘very close’, Yeye ndiyo alisema mimi ni Mwanachama na Kutokana na mazingira unakaa pembeni unatazama tu maana Yanga ni taasisi na sio mtu” —— Haji Manara
View attachment 3147843
Mkuu fafanua..hayo maneno ya kiingereza mbona umeyajengea
 
.
 

Attachments

  • FB_IMG_1731233039659.jpg
    FB_IMG_1731233039659.jpg
    30.6 KB · Views: 2
  • JamiiForums-1290500738.jpg
    JamiiForums-1290500738.jpg
    24 KB · Views: 2
  • 4817300-1bb81b368d4f8bce683b0f6baef2bcb7.mp4
    2.1 MB
Manara ametumika na GSM ili kupata siri fulani fulani za namna ya kuihujumu Simba.
Baada mpango huo kukamilika hawamtaki.
Maana hata wao wanajua ni kirusi.
 
Umeongea pumba na kwa woga. Nyie ndo mnapa kichwa manara. Anajiona yeye ndo mkubwa kuliko Yanga. Sasa alichokosea Hersi hapo ni nini? Manara siyo mwanachama wa kawaida? Aitishe kikao cha nini? Acheni ujinga na imani zenu za kipumbavu. Kama unampenda Manara kaoelewe naye. Manara kaikuta Yanga na ataiacha.
KARMA
 
Back
Top Bottom