Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kuweka uzi humu kuwa Hersi huenda ni mtendaji mzuri ila sio mzri kwenye media,aachane na exclusive interview,siku ile akiongea kama hakujiandaa,hakutumia diplomacy,angeweza kujibu hilo swali kisiasa tuVyovyote vile, Hersi alikosea sana kuongea vile. Kuna mambo unatakiwa kutumia busara kuyahandle, ile ilikuwa kumdhalilisha Manara wakati alikuwa anaipambania klabu.
Sawa, baada ya adhabu ya kufungiwa Manara alibaki kama mwanachama ndani ya klabu, kwanini hakuitisha kikao cha ndani kuliweka hilo sawa?
Au kwanini asingeongea na Manara kumfahamisha hilo kama boss wa klabu na badala yake akaenda kuongea hivyo kwenye media?
Sina nia mbaya ika walemavu wote ndio walivyoHuyu anagombana na kila mtu zaidi ya asilimi sabini ya watangazaji na wachambuzi amegombana, yaani ni mtu wa kutafuta tafuta huruma. Tokea siku ya kwanza sijawahi kumkubali pale Yanga,basi tu hatuna maamuzi.
🤣😂🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Zile bomba za sindano
WApi ?Huyu arudi alipotoka
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂Unaongelea hii siku? 😅
MsimbaziWApi ?
Umetoa bonge la wazo😄😆😃😀Manara kama vipi ajiunge na Magoma wapewe team yao.
Manara hopeless kabisa, unalazimishaje urafiki na mwanaume mwenzio bana. Mwanaume mwenzako kutana naye kwenye mambo ya msingi, ikishindikana fata maisha yako.“Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi. Sina la kuongea nae maana yeye alisema mimi ni Mwanachama tu hivyo siwezi kumtafuta nalinda brand yangu”
“Tulikuwa ‘very close’, Yeye ndiyo alisema mimi ni Mwanachama na Kutokana na mazingira unakaa pembeni unatazama tu maana Yanga ni taasisi na sio mtu” —— Haji Manara
View attachment 3147843
Ukiona hivyo jua kuna vitu vinaendelea chini chini kati yao.Sawa, baada ya adhabu ya kufungiwa Manara alibaki kama mwanachama ndani ya klabu, kwanini hakuitisha kikao cha ndani kuliweka hilo sawa?
Au kwanini asingeongea na Manara kumfahamisha hilo kama boss wa klabu na badala yake akaenda kuongea hivyo kwenye media?