Niliwahi kuweka uzi humu kuwa Hersi huenda ni mtendaji mzuri ila sio mzri kwenye media,aachane na exclusive interview,siku ile akiongea kama hakujiandaa,hakutumia diplomacy,angeweza kujibu hilo swali kisiasa tuVyovyote vile, Hersi alikosea sana kuongea vile. Kuna mambo unatakiwa kutumia busara kuyahandle, ile ilikuwa kumdhalilisha Manara wakati alikuwa anaipambania klabu.
Sawa, baada ya adhabu ya kufungiwa Manara alibaki kama mwanachama ndani ya klabu, kwanini hakuitisha kikao cha ndani kuliweka hilo sawa?
Au kwanini asingeongea na Manara kumfahamisha hilo kama boss wa klabu na badala yake akaenda kuongea hivyo kwenye media?
Sina nia mbaya ika walemavu wote ndio walivyoHuyu anagombana na kila mtu zaidi ya asilimi sabini ya watangazaji na wachambuzi amegombana, yaani ni mtu wa kutafuta tafuta huruma. Tokea siku ya kwanza sijawahi kumkubali pale Yanga,basi tu hatuna maamuzi.
π€£ππ€£πππππππππππZile bomba za sindano
WApi ?Huyu arudi alipotoka
ππππππ€£π€£π€£π€£π€£ππππππ€£π€£ππUnaongelea hii siku? π
MsimbaziWApi ?
Umetoa bonge la wazoππππManara kama vipi ajiunge na Magoma wapewe team yao.
Manara hopeless kabisa, unalazimishaje urafiki na mwanaume mwenzio bana. Mwanaume mwenzako kutana naye kwenye mambo ya msingi, ikishindikana fata maisha yako.βKwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi. Sina la kuongea nae maana yeye alisema mimi ni Mwanachama tu hivyo siwezi kumtafuta nalinda brand yanguβ
βTulikuwa βvery closeβ, Yeye ndiyo alisema mimi ni Mwanachama na Kutokana na mazingira unakaa pembeni unatazama tu maana Yanga ni taasisi na sio mtuβ ββ Haji Manara
View attachment 3147843
Ukiona hivyo jua kuna vitu vinaendelea chini chini kati yao.Sawa, baada ya adhabu ya kufungiwa Manara alibaki kama mwanachama ndani ya klabu, kwanini hakuitisha kikao cha ndani kuliweka hilo sawa?
Au kwanini asingeongea na Manara kumfahamisha hilo kama boss wa klabu na badala yake akaenda kuongea hivyo kwenye media?