Manara: Kwa sasa sina mahusiano mazuri na Hersi, hatujazungumza kama miezi miwili hivi

Sasa kuambiwa ni mwanachama shida ipo wapi? Huyu mtu anapenda sana kujipa umuhimu asiokuwa nao. Alitaka Hersi ajubu vipi kwenye lile swali? Alitaka aseme Manara ni makamu wa rais?
Manara ana vijitabia vya ukikeni sana
 
Huyu Jamaa ni Kirusi nashangaa walishindwaje kumjua mapema...Mo alishaona humu hamna mtu
 
Mkuu fafanua..hayo maneno ya kiingereza mbona umeyajengea
 
.
 

Attachments

  • FB_IMG_1731233039659.jpg
    30.6 KB · Views: 2
  • JamiiForums-1290500738.jpg
    24 KB · Views: 2
  • 4817300-1bb81b368d4f8bce683b0f6baef2bcb7.mp4
    2.1 MB
Manara ametumika na GSM ili kupata siri fulani fulani za namna ya kuihujumu Simba.
Baada mpango huo kukamilika hawamtaki.
Maana hata wao wanajua ni kirusi.
 
KARMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…