Manara ni limbukeni wa mapenzi kitakachomkuta kwa Zaiylissa asiseme hatukumwambia

Wanaume hia wanakua miaka tu.
Muache ale mtoto huyo maisha yenyewe mafupi.
Naona Manara anataka kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, kama alipigwa tukio na rushayna mpaka akazimia basi hapa kwa Zai ategemee maumivu mara mbili yake.

Zai anajulikana ni mwanamke mapepe sana na mjanja mjanja mno haswa kwa mtu mshamba sa mapenzi kama Manara anachokitafuta atakipata na asije kulia lia kama kipindi kile kutafuta huruma za wananchi .

Naona tangu atrendi alivuka mipaka ya uchezaji na Zai (alikuwa akimbambia huku anamshika shika makalio) mara amsugue sugue miguu, akili ya Manara bado haijakaa sawa kabisa.

Mbaya zaidi jamaa kutongoza hajui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anachofanya anampost post Zai kila mara,mara amtume Lokole akamuwekee mambo sawa kwa Zai yani tafrani tupu.

Kwa umri wa Manara na mambo anayoyafanya ni vitu viwili tofauti tena ukizingatia ni amekulia madrasa kabisa yani lakini ana mambo ya hovyo sana mpaka anatia aibu.

Ptuuuuu
 
Yanakuhusu? Yaani Manara amkaze demu wake wewe uumie 🤣🤣
 
Punguza umbea maana haujaweka picha
 
Ya Zai na Manara waachie wenyewe
 
Halafu unaweza kukuta mbwembwe zote aonekane kidume kumbe ndani hamna kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sitasahau yale maneno alivyoambiwa na Mzee Yusuph na Hassan Mwakinyo.

Wanaume kama haji huwa hawajiamini angalia hata wanaume malaya wanaobadili badili wanawake hawajiamin na kitandani ni zero
 
Ndicho alichoambiwa na mzee yusufu hicho , asipoangalia kila demu atamkimbia, Mzee yusufu alimwambia wanawake wanachotaka kitanda kipige kelele hawakufuata pesa hao 😂😂😂😂😂😂kama uwezo kitandani zero utaishia kulalamika tu ,kila mwanamke atakuacha
 
Back
Top Bottom