Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #61
AiseeKwani kuna siku alikupelekea moto akashindwa kukuhimili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeKwani kuna siku alikupelekea moto akashindwa kukuhimili?
Kabisaaa.Huu uzi bila picha ni kazi bure
Ulemavu unaweza kumpata mtu yoyote na wakati wowote, hata aliyepata stroke zamani hakuwa vile. Kabla ujafa bado hujaumbika.KIKUBWA MSISAHAU NI MLEMAVU YULE
Kwa akili zako unafikiri Kati ya Manara na Huyo demu, hapo Nani boya!?Naona Manara anataka kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, kama alipigwa tukio na rushayna mpaka akazimia basi hapa kwa Zai ategemee maumivu mara mbili yake.
Zai anajulikana ni mwanamke mapepe sana na mjanja mjanja mno haswa kwa mtu mshamba sa mapenzi kama Manara anachokitafuta atakipata na asije kulia lia kama kipindi kile kutafuta huruma za wananchi .
Naona tangu atrendi alivuka mipaka ya uchezaji na Zai (alikuwa akimbambia huku anamshika shika makalio) mara amsugue sugue miguu, akili ya Manara bado haijakaa sawa kabisa.
Mbaya zaidi jamaa kutongoza hajui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anachofanya anampost post Zai kila mara,mara amtume Lokole akamuwekee mambo sawa kwa Zai yani tafrani tupu.
Kwa umri wa Manara na mambo anayoyafanya ni vitu viwili tofauti tena ukizingatia ni amekulia madrasa kabisa yani lakini ana mambo ya hovyo sana mpaka anatia aibu.
Ptuuuuu
Mara nyingi vijana wanaokulia madrasa huaribikiwa uzeeni baada ya kuona maisha halisi kama hivi alivyo Manara. Si kitu cha kushangaza kuona haya toka kwa Manara, ni kawaida sana watu waliosoma dini toka utotoni kuwa mazezeta wa mapenzi. Manara hakufaidi utoto na ujana wake na ndiyo maana anaharibikiwa ukubwani.Naona Manara anataka kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, kama alipigwa tukio na rushayna mpaka akazimia basi hapa kwa Zai ategemee maumivu mara mbili yake.
Zai anajulikana ni mwanamke mapepe sana na mjanja mjanja mno haswa kwa mtu mshamba sa mapenzi kama Manara anachokitafuta atakipata na asije kulia lia kama kipindi kile kutafuta huruma za wananchi .
Naona tangu atrendi alivuka mipaka ya uchezaji na Zai (alikuwa akimbambia huku anamshika shika makalio) mara amsugue sugue miguu, akili ya Manara bado haijakaa sawa kabisa.
Mbaya zaidi jamaa kutongoza hajui 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anachofanya anampost post Zai kila mara,mara amtume Lokole akamuwekee mambo sawa kwa Zai yani tafrani tupu.
Kwa umri wa Manara na mambo anayoyafanya ni vitu viwili tofauti tena ukizingatia ni amekulia madrasa kabisa yani lakini ana mambo ya hovyo sana mpaka anatia aibu.
Ptuuuuu
Mungu amuongoe na amtoe huko aliko na awe tuwe na Mwisho wa mwishoNa sio amekulia Madrassa..
Aliwahi kuwa Maalimu madrassa kariakoo hapo na Alikiba na Nasibu waliwahi kushuhudia kuwa waliwahi kufundishwa baadhi ya Sura kwenye Quran na Maalimu Haji..[emoji28][emoji28]...
Zai Nchedangeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi angekuoa wewe, Nadhani utamfaa zaidi ya Zai.
Hahaha kuna uzi wa manara sjui kawaWatu tunamchora tu anavyoneng'eneka.
DuhHalafu unaweza kukuta mbwembwe zote aonekane kidume kumbe ndani hamna kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sitasahau yale maneno alivyoambiwa na Mzee Yusuph na Hassan Mwakinyo.
Ni kweli pengine anayoyafanya ni kutokana na hali yakeUlemavu unaweza kumpata mtu yoyote na wakati wowote, hata aliyepata stroke zamani hakuwa vile. Kabla ujafa bado hujaumbika.
AiseJamaa kitandani zero ataishiwa kuchapiwa pia tu kama alivyokuwa anachapiwa yule rushaynah
Mkuu aliwahi kukupiga show dhaifu au? Uliajuaje?[emoji16][emoji23]Jamaa kitandani zero ataishiwa kuchapiwa pia tu kama alivyokuwa anachapiwa yule rushaynah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣KIKUBWA MSISAHAU NI MLEMAVU YULE