Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Na ataishia kuona wanawake wabaya wakati yeyw ndio mbayaaNdicho alichoambiwa na mzee yusufu hicho , asipoangalia kila demu atamkimbia, Mzee yusufu alimwambia wanawake wanachotaka kitanda kipige kelele hawakufuata pesa hao 😂😂😂😂😂😂kama uwezo kitandani zero utaishia kulalamika tu ,kila mwanamke atakuacha