Manara ni limbukeni wa mapenzi kitakachomkuta kwa Zaiylissa asiseme hatukumwambia

Kwa akili zako unafikiri Kati ya Manara na Huyo demu, hapo Nani boya!?
 
Mara nyingi vijana wanaokulia madrasa huaribikiwa uzeeni baada ya kuona maisha halisi kama hivi alivyo Manara. Si kitu cha kushangaza kuona haya toka kwa Manara, ni kawaida sana watu waliosoma dini toka utotoni kuwa mazezeta wa mapenzi. Manara hakufaidi utoto na ujana wake na ndiyo maana anaharibikiwa ukubwani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had bas, hapo kwa lokole kutumwa na sope, yaan vidampa watumane,
Woiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…