Manara:Siku ya Jumanne nitaongea mambo mazito,,Yanga hawatatumia mitandao ya kijamii

Manara:Siku ya Jumanne nitaongea mambo mazito,,Yanga hawatatumia mitandao ya kijamii

Mimi nashangaa hajatamka anachotaka kukisema tayari yanawatoka akisema si ndio mtahama mitandao kwi kwi kwi Yanga buana wanakelele kama Chura wa mafuriko ya Jangwani
 
Hivi kigezo kikubwa cha uteuzi kuwa msemaji wa Simba/Yanga na jinsi unavyoweza kuinanga Yanga/Simba?
 
Vip Manara hajaanza kuongea,maana siku yenyewe ni leo
 
Back
Top Bottom