Manara tunajua unavyotumika kutuhujumu

Manara tunajua unavyotumika kutuhujumu

Mtoa mada akili ni nywele je ww unazo ?

6449E22B-C393-4B9A-B18C-C23CF2A1BC95.jpeg
 
Manara inawezekana ana chembe za usimba lakini sidhani kama Yanga inahujumiwa

Yanga bado Ina tatizo la forward,ndiyo maana hata mechi zilizopita ni ngumu kushinda zaidi ya goli mbili

Nadhani mechi tuliyoshinda goli nyingi ni dhidi ya Dodoma jiji ile round ya Kwanza.

Na magoli mengi yanapatikana kwenye mazingira magumu yaani ni Kama kubahatisha.

Fiston Mayele ni bonge la striker sema tu yupo peke yake na kila timu anayokutana nayo wachezaji wanambana mwanzo mwisho

Kuhusu ukuta Sina tatizo nao, ndiyo maana hata sare zinazotokea hazina magoli,

Nahitimisha kwa kusema hakuna anaye ihujumu Yanga.
 
Manara inawezekana ana chembe za usimba lakini sidhani kama Yanga inahujumiwa

Yanga bado Ina tatizo la forward,ndiyo maana hata mechi zilizopita ni ngumu kushinda zaidi ya goli mbili....
hata Mayele nae anakosa sana magoli, striker bado ni tatizo.
 
Na uchawi pia! Soka letu mluweluwe mengi sana
 
Utopolo mlikuwa mnashinda kwa bahasha sasa timu hazipokei tena bahasha wanapambana kubaki premier. Hapa ndo wakati wa kujua nani ni nani
 
Back
Top Bottom