Mambo ya kipuuzi nayo mnatoa FB mnaleta JF?"Tukimaliza mechi yetu ya tarehe 30 na makolo, tutawaandikia barua bodi ya ligi na TFF Kama wataridhia mechi zetu zilizobaki wacheze na YANGA PRINCES"
hii Ni kauli ya Manara aliyoipost kwenye page yake ambapo ana maanisha kwa yanga ya saizi ilipofikia ......baada ya kucheza dhidi ya makolo .....mechi zitakazo baki kwa yanga kupeleka timu uwanjani itakuwa ni upotevu wa muda
Je Kama mwanamichezo unakubaliana na Jambo hili?
Source ....semaji la duni....Manara View attachment 2196303
View attachment 2196302
Hiv unahisi kule mtachomoka......kule hakutakuwa na goal la penaltyni Uto wao ndo inabidi wacheze na Simba Queens kwasababu Simba inamajukumu makubwa ya kimataifa kupambania hili taifa.
mama yupo US anafungua nchu"Royal Tour"
Simba ipo South inafungua nchi"Visit Tanzania."
nyinyi vyura mko wapi?
Anasema timu ipumzike mkuuKwanza atuambie hapo watakapoacha kupeleka timu uwanjani watabakia wanashiriki mashindano yapi??, Maana mashindano makubwa wanayoshiriki Yanga kwa sasa ni hiyo NPL tu, ukitoa shirikisho!
Pia ni kweli wanaweza kushinda mechi yoyote hata kwa kutumia Yanga prices sabab wana mabek 3 watakaowapa penalty za mchongo!
Mkuu hapo mantik sio kupumzisha timu, ila mantik yake ni dharau dhidi ya timu zingine! Huwezi kuwapangia wanaume wakacheze na wasichana!Anasema timu ipumzike mkuu
ikifika jumapili saa sita usiku, makolo mtuambie mnashiriki michuano gani tena!!!muda ni hakimu mzuri sana!!Kwanza atuambie hapo watakapoacha kupeleka timu uwanjani watabakia wanashiriki mashindano yapi??, Maana mashindano makubwa wanayoshiriki Yanga kwa sasa ni hiyo NPL tu, ukitoa shirikisho!
Pia ni kweli wanaweza kushinda mechi yoyote hata kwa kutumia Yanga prices sabab wana mabek 3 watakaowapa penalty za mchongo!
Hapana mkuu...labda ulimsikia vbayaYanga mwakani inaanza hatua ya nusu fainali CAF kwasababu haijafungwa mpaka sasa na ukiwa bingwa huanzi makundi ila nguruwe anajua kuwakamata mazezeta wa utopolo wazee wa 0.5 kila analosema manara ni yes tu.
Aweke msimamo wa ligi ya wanawake hao princes wake wapo nafasi ya ngapi?"Tukimaliza mechi yetu ya tarehe 30 na Makolo, tutawaandikia barua Bodi ya Ligi na TFF kama wataridhia mechi zetu zilizobaki wacheze na YANGA PRINCES"
Hii ni kauli ya Manara aliyoipost kwenye page yake ambapo ana maanisha kwa yanga ya saizi ilipofikia baada ya kucheza dhidi ya makolo mechi zitakazo baki kwa yanga kupeleka timu uwanjani itakuwa ni upotevu wa muda
Je, kama mwanamichezo unakubaliana na Jambo hili?
Source: Semaji la duni.... Manara
View attachment 2196303
View attachment 2196302