Manara: Tutaiomba TFF mechi zijazo wapinzani wetu wacheze na Yanga Princess

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Tukimaliza mechi yetu ya tarehe 30 na Makolo, tutawaandikia barua Bodi ya Ligi na TFF kama wataridhia mechi zetu zilizobaki wacheze na YANGA PRINCES"

Hii ni kauli ya Manara aliyoipost kwenye page yake ambapo ana maanisha kwa yanga ya saizi ilipofikia baada ya kucheza dhidi ya makolo mechi zitakazo baki kwa yanga kupeleka timu uwanjani itakuwa ni upotevu wa muda

Je, kama mwanamichezo unakubaliana na Jambo hili?

Source: Semaji la duni.... Manara

FB_IMG_16506182976010423.jpg

Screenshot_20220422-120431.jpg
 
"Tukimaliza mechi yetu ya tarehe 30 na makolo, tutawaandikia barua bodi ya ligi na TFF Kama wataridhia mechi zetu zilizobaki wacheze na YANGA PRINCES"

hii Ni kauli ya Manara aliyoipost kwenye page yake ambapo ana maanisha kwa yanga ya saizi ilipofikia ......baada ya kucheza dhidi ya makolo .....mechi zitakazo baki kwa yanga kupeleka timu uwanjani itakuwa ni upotevu wa muda

Je Kama mwanamichezo unakubaliana na Jambo hili?

Source ....semaji la duni....Manara View attachment 2196303

View attachment 2196302
Mambo ya kipuuzi nayo mnatoa FB mnaleta JF?
 
Kwanza atuambie hapo watakapoacha kupeleka timu uwanjani watabakia wanashiriki mashindano yapi??, Maana mashindano makubwa wanayoshiriki Yanga kwa sasa ni hiyo NPL tu, ukitoa shirikisho!
Pia ni kweli wanaweza kushinda mechi yoyote hata kwa kutumia Yanga prices sabab wana mabek 3 watakaowapa penalty za mchongo!
 
ni Uto wao ndo inabidi wacheze na Simba Queens kwasababu Simba inamajukumu makubwa ya kimataifa kupambania hili taifa.
mama yupo US anafungua nchu"Royal Tour"
Simba ipo South inafungua nchi"Visit Tanzania."
nyinyi vyura mko wapi?
Hiv unahisi kule mtachomoka......kule hakutakuwa na goal la penalty
 
Kwanza atuambie hapo watakapoacha kupeleka timu uwanjani watabakia wanashiriki mashindano yapi??, Maana mashindano makubwa wanayoshiriki Yanga kwa sasa ni hiyo NPL tu, ukitoa shirikisho!
Pia ni kweli wanaweza kushinda mechi yoyote hata kwa kutumia Yanga prices sabab wana mabek 3 watakaowapa penalty za mchongo!
Anasema timu ipumzike mkuu
 
ikifika jumapili saa sita usiku, makolo mtuambie mnashiriki michuano gani tena!!!muda ni hakimu mzuri sana!!
 
Yanga mwakani inaanza hatua ya nusu fainali CAF kwasababu haijafungwa mpaka sasa na ukiwa bingwa huanzi makundi ila nguruwe anajua kuwakamata mazezeta wa utopolo wazee wa 0.5 kila analosema manara ni yes tu.
Hapana mkuu...labda ulimsikia vbaya
 
"Tukimaliza mechi yetu ya tarehe 30 na Makolo, tutawaandikia barua Bodi ya Ligi na TFF kama wataridhia mechi zetu zilizobaki wacheze na YANGA PRINCES"

Hii ni kauli ya Manara aliyoipost kwenye page yake ambapo ana maanisha kwa yanga ya saizi ilipofikia baada ya kucheza dhidi ya makolo mechi zitakazo baki kwa yanga kupeleka timu uwanjani itakuwa ni upotevu wa muda

Je, kama mwanamichezo unakubaliana na Jambo hili?

Source: Semaji la duni.... Manara

View attachment 2196303

View attachment 2196302
Aweke msimamo wa ligi ya wanawake hao princes wake wapo nafasi ya ngapi?
 
Back
Top Bottom