Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
"Tukimaliza mechi yetu ya tarehe 30 na Makolo, tutawaandikia barua Bodi ya Ligi na TFF kama wataridhia mechi zetu zilizobaki wacheze na YANGA PRINCES"
Hii ni kauli ya Manara aliyoipost kwenye page yake ambapo ana maanisha kwa yanga ya saizi ilipofikia baada ya kucheza dhidi ya makolo mechi zitakazo baki kwa yanga kupeleka timu uwanjani itakuwa ni upotevu wa muda
Je, kama mwanamichezo unakubaliana na Jambo hili?
Source: Semaji la duni.... Manara