OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
"Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile."
Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video hapo juu ni moja ya sababu. Mmeacha watu wenu wanaropoko kama wehu, halafu leo mnataka tuwaombee mema, haiwezekani.
Mliitukana Simba mwaka jana kwamba imeshiriki kombe la looser, haya sasa hilo hapo. Hapo bado hatujui kama mtashiriki au mtatolewa playoff. Nawaombea mpangiwe timu ngumu kama Berkane au Pyramids mpigwe tena ili tuendelee kufurahi.
Wenzetu wanasema tuwasamehe. Nami nawauliza ni lini mliomba msahama?