Manara: Yanga msishiriki CAFCC ni kombe la losers

Manara: Yanga msishiriki CAFCC ni kombe la losers

Mkuu Manara, mchezo wa mpira wa miguu hauna chembechembe za mchezo mchafu wa SIASA. Football ni Ufundi, mbinu na mazoezi, hauna blaablaa, ukitambua hayo hakika itapata mafanikio unayotarajia katika football.
 
hana lolote aliwaaminisha watu msimu huu Yanga wanaenda kubeba caf champions.timu aijawai kufika group stage miaka 24 alafu anawaaminisha mazuzu uongo.

Simba ambao ndo vinara wanakwambia malengo yao ni kufika nusu fainali,wakifika nusu final hapo sasa ndo gari linawaka rasmi.
 
Kocha Nabi yeye hana uwezo na timu za nje ila size yake ni gwambina, kitayosa, nk

Ukimletea timu kutoka nje ata kama ni timu daraja la kwanza mmepigwa kweupe iwe kwa Mkapa Au popote

Kacheza michezo mingi ya kujipima nguvu na timu za nje lakini kachezea vichapo na sare

Kama akibahatika kupita ktk hatua ya makundi basi watafungwa vibaya vibaya

Nabi size yake mlandege ya zanzibar Au mchamba wima fc
Kwa hiyo Zalan ni timu ya ndani?
 
View attachment 2389853
"Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile."

Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video hapo juu ni moja ya sababu. Mmeacha watu wenu wanaropoko kama wehu, halafu leo mnataka tuwaombee mema, haiwezekani.

Mliitukana Simba mwaka jana kwamba imeshiriki kombe la looser, haya sasa hilo hapo. Hapo bado hatujui kama mtashiriki au mtatolewa playoff. Nawaombea mpangiwe timu ngumu kama Berkane au Pyramids mpigwe tena ili tuendelee kufurahi.

Wenzetu wanasema tuwasamehe. Nami nawauliza ni lini mliomba msahama?
 
Football haipo vile tunavyodhani Sisi huku mtaani, wala sio mchezo wenye guarantee ya matokeo utakayo wewe.

Watu wa kisasa wanasema ni mchezo katili, ila tuongezee na bahati, tusipoipata hii na kukubali pia kuna Mipango ya Mungu, tutakuwa hatuitendei haki football yetu.

Rudini mjipange na linalokuja Wachezaji wetu, msihisi Dunia imewaangukia nyie, mna nafasi ya kurejesha heshma yenu wiki ijayo na kurejesha furaha yetu, Uwezo huo mnao, ni fursa adhimu ya kuthibitisha mliteleza na hamkuanguka.

Nawasihi sana sahauni ya Sudan, rejesheni ari na nguvu Jumapili ijayo kisha msubirie kombe la Shirikisho.

Bado tuna Imani na nyie na tunajua mtatufurahisha next weekend Insha'Allah [emoji120]View attachment 2390535
24 years GROUP STAGE ?????
 
View attachment 2389853
"Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile."

Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video hapo juu ni moja ya sababu. Mmeacha watu wenu wanaropoko kama wehu, halafu leo mnataka tuwaombee mema, haiwezekani.

Mliitukana Simba mwaka jana kwamba imeshiriki kombe la looser, haya sasa hilo hapo. Hapo bado hatujui kama mtashiriki au mtatolewa playoff. Nawaombea mpangiwe timu ngumu kama Berkane au Pyramids mpigwe tena ili tuendelee kufurahi.

Wenzetu wanasema tuwasamehe. Nami nawauliza ni lini mliomba msahama?
Mliitukana Simba mwaka jana kwamba imeshiriki kombe la looser, haya sasa hilo hapo. Hapo bado hatujui kama mtashiriki au mtatolewa playoff. Nawaombea mpangiwe timu ngumu kama Berkane au Pyramids mpigwe tena ili tuendelee kufurahi.[emoji23]
 
Yaani unaweza usimjibu manara kwa maneno yako ikawa akiongea tu unatupia video na sauti zake kipindi yupo Simba, majibu ya Haji wa Simba Sc yanajibu hoja zote za haji wa yanga.

Akiwa Simba Sc;
1. Mungu ana Mambo mengi hawezi kusikiliza dua za utopolo za Mambo ya mpira.
[emoji117] Leo hii; Ee yallaabi, Mwenyezi Mungu tujaalie ushindi katika mechi yetu[emoji1787][emoji1787]

2. Yanga hawajui kucheza mechi za kimataifa na hawawezi kufika popote.
[emoji117] Leo hii ( miezi michache iliyopita), Yanga ndiyo klabu kubwa na malengo yetu ni fainali ya CAFCL kwa sababu tushasajili kuliko klabu yoyote Tanzania [emoji1][emoji1][emoji1]

Ongeza kauli halisi na za ukweli akiwa Simba Sc kabla hajaenda utopoloni ambako wenye akili ni wawili tu yaani Sunday manara computer na jk pekee!
giphy.gif
 
Kocha Nabi yeye hana uwezo na timu za nje ila size yake ni gwambina, kitayosa, nk

Ukimletea timu kutoka nje ata kama ni timu daraja la kwanza mmepigwa kweupe iwe kwa Mkapa Au popote

Kacheza michezo mingi ya kujipima nguvu na timu za nje lakini kachezea vichapo na sare

Kama akibahatika kupita ktk hatua ya makundi basi watafungwa vibaya vibaya

Nabi size yake mlandege ya zanzibar Au mchamba wima fc
Alieishauri Yanga ifanye trials na Kibada Kombaini na Mbuni FC wakati Al Hilal inafanya trial na TP Mazembe ndie alieipoteza Yanga.

Trials na kina Kibada Kombaini unafanya if unasubiria mechi ya FA Cup dhidi ya labda Mlandizi United, Bonyokwa Warriors etc. Nabi ni muoga hata wa vimechi vidogo vidogo.
 
Mashabiki wa simba bado mnamkubali sana Haji Manara! Yaani hata akikohoa tu, basi lazima mkimbie mbio kuja kumuanzishia uzi.
 
Mashabiki wa simba bado mnamkubali sana Haji Manara! Yaani hata akikohoa tu, basi lazima mkimbie mbio kuja kumuanzishia uzi.
Mosie Tate Mkuu sio kumkubali bali ni huu ni mshindo nyuma(feedback) kuonesha asivyoaminika na kauli zake
Manara anaongea asichoamini na anaamini asichoongea.. In fact ni kinyonga
giphy.gif
 
Wewe kunguru ndy umpige mkwara manala?
Kama umefikia hatua ya kuamini kwamba hakuna anaeweza kumpiga mkwara Manara, basi utakuwa ni wa kufugwa tu pahala fulani nchini.

Umaarufu sio uwezo, Manara anaweza kuwa maarufu ila sio threat kwa watu wote kama unavyodhani, najua ni Mungu wako ila naomba uelewe hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa simba bado mnamkubali sana Haji Manara! Yaani hata akikohoa tu, basi lazima mkimbie mbio kuja kumuanzishia uzi.
Huyo ni Mungu wenu wana Yanga, sisi tupo hapa kuwapunguzia kasi ya kumuabudu, kwakua kila anachokisema mnakiamini, sisi tupo hapa kuwakumbusha kuwa msiziamini sana kauli zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom