Yaani unaweza usimjibu manara kwa maneno yako ikawa akiongea tu unatupia video na sauti zake kipindi yupo Simba, majibu ya Haji wa Simba Sc yanajibu hoja zote za haji wa yanga.
Akiwa Simba Sc;
1. Mungu ana Mambo mengi hawezi kusikiliza dua za utopolo za Mambo ya mpira.
[emoji117] Leo hii; Ee yallaabi, Mwenyezi Mungu tujaalie ushindi katika mechi yetu[emoji1787][emoji1787]
2. Yanga hawajui kucheza mechi za kimataifa na hawawezi kufika popote.
[emoji117] Leo hii ( miezi michache iliyopita), Yanga ndiyo klabu kubwa na malengo yetu ni fainali ya CAFCL kwa sababu tushasajili kuliko klabu yoyote Tanzania [emoji1][emoji1][emoji1]
Ongeza kauli halisi na za ukweli akiwa Simba Sc kabla hajaenda utopoloni ambako wenye akili ni wawili tu yaani Sunday manara computer na jk pekee!