Manara: Yanga msishiriki CAFCC ni kombe la losers

Mkuu Manara, mchezo wa mpira wa miguu hauna chembechembe za mchezo mchafu wa SIASA. Football ni Ufundi, mbinu na mazoezi, hauna blaablaa, ukitambua hayo hakika itapata mafanikio unayotarajia katika football.
 
hana lolote aliwaaminisha watu msimu huu Yanga wanaenda kubeba caf champions.timu aijawai kufika group stage miaka 24 alafu anawaaminisha mazuzu uongo.

Simba ambao ndo vinara wanakwambia malengo yao ni kufika nusu fainali,wakifika nusu final hapo sasa ndo gari linawaka rasmi.
 
Kwa hiyo Zalan ni timu ya ndani?
 
 
24 years GROUP STAGE ?????
 
Mliitukana Simba mwaka jana kwamba imeshiriki kombe la looser, haya sasa hilo hapo. Hapo bado hatujui kama mtashiriki au mtatolewa playoff. Nawaombea mpangiwe timu ngumu kama Berkane au Pyramids mpigwe tena ili tuendelee kufurahi.[emoji23]
 
 
Alieishauri Yanga ifanye trials na Kibada Kombaini na Mbuni FC wakati Al Hilal inafanya trial na TP Mazembe ndie alieipoteza Yanga.

Trials na kina Kibada Kombaini unafanya if unasubiria mechi ya FA Cup dhidi ya labda Mlandizi United, Bonyokwa Warriors etc. Nabi ni muoga hata wa vimechi vidogo vidogo.
 
Mashabiki wa simba bado mnamkubali sana Haji Manara! Yaani hata akikohoa tu, basi lazima mkimbie mbio kuja kumuanzishia uzi.
 
Mashabiki wa simba bado mnamkubali sana Haji Manara! Yaani hata akikohoa tu, basi lazima mkimbie mbio kuja kumuanzishia uzi.
Mosie Tate Mkuu sio kumkubali bali ni huu ni mshindo nyuma(feedback) kuonesha asivyoaminika na kauli zake
Manara anaongea asichoamini na anaamini asichoongea.. In fact ni kinyonga
 
Wewe kunguru ndy umpige mkwara manala?
Kama umefikia hatua ya kuamini kwamba hakuna anaeweza kumpiga mkwara Manara, basi utakuwa ni wa kufugwa tu pahala fulani nchini.

Umaarufu sio uwezo, Manara anaweza kuwa maarufu ila sio threat kwa watu wote kama unavyodhani, najua ni Mungu wako ila naomba uelewe hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa simba bado mnamkubali sana Haji Manara! Yaani hata akikohoa tu, basi lazima mkimbie mbio kuja kumuanzishia uzi.
Huyo ni Mungu wenu wana Yanga, sisi tupo hapa kuwapunguzia kasi ya kumuabudu, kwakua kila anachokisema mnakiamini, sisi tupo hapa kuwakumbusha kuwa msiziamini sana kauli zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…