Manara: Yanga msishiriki CAFCC ni kombe la losers

Huyo ni Mungu wenu wana Yanga, sisi tupo hapa kuwapunguzia kasi ya kumuabudu, kwakua kila anachokisema mnakiamini, sisi tupo hapa kuwakumbusha kuwa msiziamini sana kauli zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kulikashifu jina la Mwenyezi Mungu kwa vitu vya kijinga. Utakuja kufa kifo kibaya sana mkurugenzi.
 
Acha kulikashifu jina la Mwenyezi Mungu kwa vitu vya kijinga. Utakuja kufa kifo kibaya sana mkurugenzi.
Hakuna sehemu nilipolikashifu jina la Mwenyezi Mungu, lakini pia hata ingekuwa hivyo bado hilo swala haliwezi na halitakuja kuingiliana na swala la mtu kufa kifo kizuri au kibaya.

Kama unabisha, unaweza kuja hapa kunieleza ni kifo gani ni kizuri kwa mujibu wa upeo wako wa kufikiri au kwa uzoefu wako (kama uliwahi kufa).
 
Mwasibu again!! Ona sasa umeisababishia timu yako kuangukia kwenye hili Kombe la Looser!! 😁
 
Baada ya hapo tuambie mnashiriki kombe la luza?
Dah! Hili swali Mwasibu uliniuliza tarehe 19 Oktoba, 2022!!

Na mimi leo ngoja nikuulize msimu huu na nyinyi mtashiriki Kombe la luza, au mtasusia? 😁
 
Wewe mwakani kacheze shirikisho
 
Aaahhh Mwasibu feki OKW CPA uchwara SUNZU BOBAN ovyo kabisa tunasubiria ufike fainali ya Kombe la Loosers ndo uje humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…