Manase fast courier
JF-Expert Member
- Mar 23, 2021
- 571
- 336
- Thread starter
-
- #201
Safi hii
Tanueni wigo njooni mpka mtwara tufanye kazi nina stoo
Mnafanya Clearing pia?Bandarini na airport?
Hapo ndipo gharama huongezeka.Ukisafirisha mzigo kupitia DHL unalipa airfreight charges/shipment costs na tariffs za serikali tu(Import duties,TBS, etc etc).Baada ya hapo wenyewe wanafanya clearance with zero cost!.Manake hapo watu wa clearance hukosi kuwalipa kati ya 300K-400K.hapana clearing tuna agents wanatufanyia
Hapo ndipo gharama huongezeka.Ukisafirisha mzigo kupitia DHL unalipa airfreight charges/shipment costs na tariffs za serikali tu(Import duties,TBS, etc etc).Baada ya hapo wenyewe wanafanya clearance with zero cost!.Manake hapo watu wa clearance hukosi kuwalipa kati ya 300K-400K.