Manase Fast Courier kusafirisha mizigo duniani kote, mikoani kwa haraka mpaka mlangoni kwako

IMG_4433.jpg
 
hapana clearing tuna agents wanatufanyia
Hapo ndipo gharama huongezeka.Ukisafirisha mzigo kupitia DHL unalipa airfreight charges/shipment costs na tariffs za serikali tu(Import duties,TBS, etc etc).Baada ya hapo wenyewe wanafanya clearance with zero cost!.Manake hapo watu wa clearance hukosi kuwalipa kati ya 300K-400K.
 
same here mkuu sema tulkuwa hatujaelewana....nlijua labda unagari liko bandarini hivi na unataka litoke...hapo tunatumia ma agents wetu....ila kwa mizigo ww unalipia nauli tu vingne tunafanya bure
 
Back
Top Bottom