Manchester Derby: September 10, 2016, Old Trafford

Manchester Derby: September 10, 2016, Old Trafford

aljun raj

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
203
Reaction score
46
Screenshot from 2016-09-10 13:12:05.png

maxresdefault.jpg

Hakika kila mtu anaisubiri siku yake kama saa nane na nusu siku ya Jumamosi ya tarehe 10 Septemba.

Goal - De Bruyne (City)...15mns
Goal - Ihenacho (City)... 36
Goal - Ibrahimovic (United)... 42mns

HT: Man Utd 1-2 Man City
image.jpeg

image.jpeg
 
Hahaha
Sijawahi kuona mechi inasubiriwa kwa hamu kama hii
Yaan imefika level za el classico sasa
 
United wanaenda kutolewa bikra hapo kesho. Na mara nyingi ukionja unazoea. Hii itafungulia vipigo vya mara kwa mara.
Natabiri

United 0-2city
 
Sisi wana Chelsea tunawombea mtoke suluhu bin suluhu
 
Aisee nasubiria kuona Pep anavyojikunja pindi mchezaji akikosa goli, uzuri ni kua wote wameingia timu ikiwa mbovu japo Man Utd kuna uwezekano mkubwa wa kufungwa kutokana na beki yao kutokuimarika bado.
 
man utd hamjatulia bado japo mna kocha anayemaind big games!
mkijitahidi saaana mtatafuta draw!

my prediction[emoji107]

man utd 0 vs 1 man city
 
Watu wanandoto ya kuona man u wakifungwa lakin kwa jina la morihno pepegadimbola atakufa tu
 
[emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji460] man u 2-0[emoji818][emoji818]
 
Aisee nasubiria kuona Pep anavyojikunja pindi mchezaji akikosa goli, uzuri ni kua wote wameingia timu ikiwa mbovu japo Man Utd kuna uwezekano mkubwa wa kufungwa kutokana na beki yao kutokuimarika bado.

Ooh My God..!!

Hujui unachokiongea.. Unaweza kunitajia timu ambayo imeruhusu goli chache mpaka sasa kwenye EPL?

BACK TANGANYIKA
 
man utd hamjatulia bado japo mna kocha anayemaind big games!
mkijitahidi saaana mtatafuta draw!

my prediction[emoji107]

man utd 0 vs 1 man city

Nkuwi,

Hii siyo game ya kuisha na goli moja.... Ikitokea mmoja akafunga mwingine atasawazisha..!! Kwa hizi timu zilivyo mpaka sasa, Man U ni wazuri pale nyuma kulinganisha ma Man C... Wakati Man C ni wazuri pale mbele kulinganisha na Man U..!!

Naamini Man U tutashambuliwa sana kwa Machi ya kesho na tutakuwa na Counter Attacks nyingi na kama tutapata Goli basi ni kutokana na hilo. Am Man U fan, natamani ushindi, but to be honestly.. Mchezo wa kesho ni mgumu na Unpredictable..!!

Sitabiri mshindi, ila ikitokea mshindi basi ni kwa goli 2-1 au itaisha kwa sare ya 2-2. Itakuwa furaha kubwa tukishinda ila kusema ukweli nina presha kubwa kulinganisha na Matumaini..!!!

GGMU GGMU GGMU GGMU

BACK TANGANYIKA
 
United wanaenda kutolewa bikra hapo kesho. Na mara nyingi ukionja unazoea. Hii itafungulia vipigo vya mara kwa mara.
Natabiri

United 0-2city

Rashfod yupo kwa ajili yao kamoja tu na zlatan kamoja pana kepu hapo city hapat hata goli moja
 
Back
Top Bottom