Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri ndo vitamu kwa kuliwa.. Man utd 3 City 0.Man U anapigwa goli Man city yupo vizuri
Na si kila vizuri vinaliwa..ni sawa na baunsa kujitetea kuwa wamemlawiti lakini kwa shida sanaVizuri ndo vitamu kwa kuliwa.. Man utd 3 City 0.
Aisee nasubiria kuona Pep anavyojikunja pindi mchezaji akikosa goli, uzuri ni kua wote wameingia timu ikiwa mbovu japo Man Utd kuna uwezekano mkubwa wa kufungwa kutokana na beki yao kutokuimarika bado.
man utd hamjatulia bado japo mna kocha anayemaind big games!
mkijitahidi saaana mtatafuta draw!
my prediction[emoji107]
man utd 0 vs 1 man city
United wanaenda kutolewa bikra hapo kesho. Na mara nyingi ukionja unazoea. Hii itafungulia vipigo vya mara kwa mara.
Natabiri
United 0-2city