Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

Kocha anababaika kupanga kikosi, baada ya kufungwa na man city kabadili kikosi, pia pogba anatakiwa acheze mbele sio namba 6 na Rushford asiwe anaanzishwa awe anaingizwa kipindi cha pili
 
pole umeongea kwa uchungu
pigaaaaaaaaaaa mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hakuna collaboration wachezaji wanacheza hovyo sana aisee ila rooney ndo kabisaaa
 
Nyie mnabutua butua tu mtashnda vp? Kucheza bila kupiga cross mfunge magoli ya kichwa hanshnd..
 
Hii club mi nataka iwe kama Fulham au Leeds United ! damnnn !
 
Nimeelewa kwanini makocha ndo huwa wanafukuzwa badala ya wachezaji, mimi I would say tatizo kocha, simply put.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…