Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

Manchester united inavyonifany kma nimapacha n Tanzania haki ya mama vile
 
Sijaelewa ni kivipi hii inakuwa sticky thread!!!
 
Invisible Paw Moderator kwa nini huu uzi uwe stik hamuoni huu ni upendeleo wa wazi BARCA imechukua Trebo lakini hakijafanyika kitu kama hiko Yokobus kashika nafas ya 10 ila hakijafanyika leo hawa nyumbu ndio wanawekewa uzi HUU NI UPENDELEO
 
Tuvumilie timu itatulia na hakuna atakayetushika tusife moyo kama timu ndogo...
 
Back
Top Bottom