MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,924
- 6,854
wadau hebu tujadiliane ni kipi kimetukumba hadi tunacheza mpira kama wa ligi daraja la 3
Mourinho amefikia ukomo wa kipaji chake, ndio life cycle ilivyo, isitoshe timing ya ujio wake traford haikuwa sahihi baada ya kutimuliwa Chelsea, he is on the decline mode; na hii kufungwafungwa mapema hivi ataingia kwenye panic mode akianza kuzongwa na mashabiki wa MUN, ndio kabisaa atavurugikiwa! Lets hope he can turn the corner as soon as possible kabla bundi hajamuandama! Best wishes mashabiki wa MUN, msikate tamaa, it is still early in the race for the title. Sisi na Mpare wetu Arsene Wenger, mambo sio mabaya, so far so good.