Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

wadau hebu tujadiliane ni kipi kimetukumba hadi tunacheza mpira kama wa ligi daraja la 3

Mourinho amefikia ukomo wa kipaji chake, ndio life cycle ilivyo, isitoshe timing ya ujio wake traford haikuwa sahihi baada ya kutimuliwa Chelsea, he is on the decline mode; na hii kufungwafungwa mapema hivi ataingia kwenye panic mode akianza kuzongwa na mashabiki wa MUN, ndio kabisaa atavurugikiwa! Lets hope he can turn the corner as soon as possible kabla bundi hajamuandama! Best wishes mashabiki wa MUN, msikate tamaa, it is still early in the race for the title. Sisi na Mpare wetu Arsene Wenger, mambo sio mabaya, so far so good.
 
mkuu hivi vipigo hadi moyes hajawai kupata
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Tatizo liko katika upangaji wa kikosi....pogba sio no 6 ni 8 lakini analazimishwa kucheza 6 mtafungwa sana! Pale lazima mpate au mumuanzishe schnedilin au carick katikati mbele yao acheze pogba kwa uhuru
na rooney je anafaa kuwa first eleven ? maana naona anaruka ruka tu kama chura
 
bora ukae kimya kama huoni dalili za timu kudebweda

haitokusaidia kocha wako anajua utulie tu timu haijabalansi kufupi ushindi wa man united umakaliwa na rooney mata kaingia dakika chache kabadili upepo baada ya kumtoa rooney kwenye ile nafas aliyokuwepo kapewa 6/10 wakat rooney kacheza dakika zote 90 kapata 3/10 anamuua mik kumchezesha nje ya nafas yake kwa upendeleo wa rooney unapo mpa nafas pogba+herrera timu inakuwa fasta pale kwa felain acheze carick or bastian or morgan hawa wanapiga pas na kukaba kushoto blind shaw sub hapo unafungwaje? ila mapenz ya kocha wako kwa rooney
 
Kwamkweli hali nimbaya kupita maelezo ule cyo mpira kbs yaan kheri ya van gaal mpira unaonekana lkn mnakosa matokeo ila kwa hz mechi mbili kwa hii performance cjui labda kuna mshirika katoa point naona km ina mashiko pogba apande juu chini awe anaanza carick au schnedelin la cvyo,so sad aiseee
huyo pogoba hamna kitu, mbona ile mechi ya Europa Ander hererra alicheza deep alafu huyo pogoba akacheza mbele na hakuonekana??? mtasingizia vingi sana ila hiyo PESA JUVE WAMEWATAPELI,
 
huyo pogoba hamna kitu, mbona ile mechi ya Europa Ander hererra alicheza deep alafu huyo pogoba akacheza mbele na hakuonekana??? mtasingizia vingi sana ila hiyo PESA JUVE WAMEWATAPELI,

kwani ni manchester united pekee iliyonunua mchezaji kwa bei ghali akafeli? unaijua rekod ya anelka kwa wakat ule inamtoa arsenal kwenda madrid? mmekomaa na pesa ya pogba wakat huo manchester imetangaza ongezeko la club faida ya £68 15/16 bado wataendelea kununua wachezaj had timu yao itakapo kaa sawa pogba sio inshu ila ni inshu kwa timu zingine ndani ya man u hawajaathirika hata kidogo kafeli kisoka pesa yao kairudisha kwenye jez na bado ni mchezaj wa manchester united hapo hasara iko wap kipesa?
 
Back
Top Bottom