nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
sheria za JF unazijua, you know yourself!Who I'm I[emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sheria za JF unazijua, you know yourself!Who I'm I[emoji15]
Umepaniq, huyo pogoba hastahili KABSAA HIYO PESA PERIOD!kwani ni manchester united pekee iliyonunua mchezaji kwa bei ghali akafeli? unaijua rekod ya anelka kwa wakat ule inamtoa arsenal kwenda madrid? mmekomaa na pesa ya pogba wakat huo manchester imetangaza ongezeko la club faida ya £68 15/16 bado wataendelea kununua wachezaj had timu yao itakapo kaa sawa pogba sio inshu ila ni inshu kwa timu zingine ndani ya man u hawajaathirika hata kidogo kafeli kisoka pesa yao kairudisha kwenye jez na bado ni mchezaj wa manchester united hapo hasara iko wap kipesa?
Umepaniq, huyo pogoba hastahili KABSAA HIYO PESA PERIOD!
sawa Profesasheria za JF unazijua, you know yourself!
Dumila upo sehemu gan mkuu ?dumila chin au juusawa Profesa
njiapandaDumila upo sehemu gan mkuu ?dumila chin au juu
Ewaaaaaa, unaona eeee!!! nimefurahi kupigwa hawa manure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sawa Profesa
Kwani pogba anacheza 6??Tatizo liko katika upangaji wa kikosi....pogba sio no 6 ni 8 lakini analazimishwa kucheza 6 mtafungwa sana! Pale lazima mpate au mumuanzishe schnedilin au carick katikati mbele yao acheze pogba kwa uhuru
ngoja nikuuupuzee, endeleeni na mauzo ya jezi!utoto kazi umeishia hivyooo yaani mimi nipanik ni mkurugenz wa manchester united niliyeidhinisha hiyo pesa jibu ni hapana nimekwambia ukizungumzia hasara upande wa manchester haipo kama ulivyoandika kutapeliwa ila kimpira kuna shida tatizo mnazongwa na ushabiki utaishia kutoa majibu hayo mana huna analysis zake upande wa finacial pole dogo.
ngoja nikuuupuzee, endeleeni na mauzo ya jezi!
Mkuu unamaanisha Kaoge wa Zamaradi?Mkuu sasa hayo matusi,kina kaoge mvuto au kaoge yupi? Nikikukamatalazima uchezee [emoji109]
ila nawe mtu kuna muda unaongea mambo positive kabisaa kama hili nakuunga mkono kabisaahaitokusaidia kocha wako anajua utulie tu timu haijabalansi kufupi ushindi wa man united umakaliwa na rooney mata kaingia dakika chache kabadili upepo baada ya kumtoa rooney kwenye ile nafas aliyokuwepo kapewa 6/10 wakat rooney kacheza dakika zote 90 kapata 3/10 anamuua mik kumchezesha nje ya nafas yake kwa upendeleo wa rooney unapo mpa nafas pogba+herrera timu inakuwa fasta pale kwa felain acheze carick or bastian or morgan hawa wanapiga pas na kukaba kushoto blind shaw sub hapo unafungwaje? ila mapenz ya kocha wako kwa rooney
Kama umeoa piga mkeonatamani kupga mtu aiseee