Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

Manchester United kuna mapungufu gani mpaka tunafungwa?

kwani ni manchester united pekee iliyonunua mchezaji kwa bei ghali akafeli? unaijua rekod ya anelka kwa wakat ule inamtoa arsenal kwenda madrid? mmekomaa na pesa ya pogba wakat huo manchester imetangaza ongezeko la club faida ya £68 15/16 bado wataendelea kununua wachezaj had timu yao itakapo kaa sawa pogba sio inshu ila ni inshu kwa timu zingine ndani ya man u hawajaathirika hata kidogo kafeli kisoka pesa yao kairudisha kwenye jez na bado ni mchezaj wa manchester united hapo hasara iko wap kipesa?
Umepaniq, huyo pogoba hastahili KABSAA HIYO PESA PERIOD!
 
Umepaniq, huyo pogoba hastahili KABSAA HIYO PESA PERIOD!

utoto kazi umeishia hivyooo yaani mimi nipanik ni mkurugenz wa manchester united niliyeidhinisha hiyo pesa jibu ni hapana nimekwambia ukizungumzia hasara upande wa manchester haipo kama ulivyoandika kutapeliwa ila kimpira kuna shida tatizo mnazongwa na ushabiki utaishia kutoa majibu hayo mana huna analysis zake upande wa finacial pole dogo.
 
Tatizo liko katika upangaji wa kikosi....pogba sio no 6 ni 8 lakini analazimishwa kucheza 6 mtafungwa sana! Pale lazima mpate au mumuanzishe schnedilin au carick katikati mbele yao acheze pogba kwa uhuru
Kwani pogba anacheza 6??
 
utoto kazi umeishia hivyooo yaani mimi nipanik ni mkurugenz wa manchester united niliyeidhinisha hiyo pesa jibu ni hapana nimekwambia ukizungumzia hasara upande wa manchester haipo kama ulivyoandika kutapeliwa ila kimpira kuna shida tatizo mnazongwa na ushabiki utaishia kutoa majibu hayo mana huna analysis zake upande wa finacial pole dogo.
ngoja nikuuupuzee, endeleeni na mauzo ya jezi!
 
watu mnachonga sana hadi mnaniuzi kama hauna cha kuchangia sepeni
 
haitokusaidia kocha wako anajua utulie tu timu haijabalansi kufupi ushindi wa man united umakaliwa na rooney mata kaingia dakika chache kabadili upepo baada ya kumtoa rooney kwenye ile nafas aliyokuwepo kapewa 6/10 wakat rooney kacheza dakika zote 90 kapata 3/10 anamuua mik kumchezesha nje ya nafas yake kwa upendeleo wa rooney unapo mpa nafas pogba+herrera timu inakuwa fasta pale kwa felain acheze carick or bastian or morgan hawa wanapiga pas na kukaba kushoto blind shaw sub hapo unafungwaje? ila mapenz ya kocha wako kwa rooney
ila nawe mtu kuna muda unaongea mambo positive kabisaa kama hili nakuunga mkono kabisaa
 
Back
Top Bottom