Manchester United (Red Devils) | Special Thread
Naomba mwenye kufahamu sifa za ziada za Ruben Amorim, atuwekee hapa

Kijana wa miaka 39 kaaminiwa timu kubwa
Kilichotokea ni kwamba,huyo ndio alikuwa mrithi wa klopp.
Matajiri wa Liverpool walitaka analysis ya makocha 8, waaangaliwe kwenye ubora wa kila kipengere kwa vipengere Vilivyowekwa nitakuletea article hiyo ilipostiwa na bbc.

Huyo mwamba alikuwa ana namba kubwa kumkaribia klopp,akawaacha mwenzake mbali sana.
Sasa Man U hawakutaka tena kuumiza kichwa maana Liverpool walisha muweka wazi ubora wake.
Tukiwa tuna jadiri vitu muwe mnapita kuchungulia mara moja moja huko kwenye majukwaa mengine kama jukwaa la Liverpool.

Issue ya Ruben tulishaijadili zamani sana wakati klopp anaondoka sasa tuanze kutafuta mafile tena duh.

Nikiipata hiyo article ya ubora wake nitaiweka.
 
Je mnakumbuka mlisema kuwa kuna mwalimu alikuja hapo kwenu kamfundisha kloop na tuchel kilichomkuta mnakijua wenyewe
 
Bruno
1000220288.jpg

Unadhani ana lenga Washford au hiljiult
 
Attachments

  • 1000220288.jpg
    1000220288.jpg
    142.4 KB · Views: 6
Natamani kesho kumuona mwana wa nyumbani akikanyaga nyasi za "The Theatre of Dreams" angalau kwa dk kadhaa tu.

Mbwana Samatta, shabiki lialia wa Manchester United kesho atakuwepo matofali ya kuchoma.
Finished
 
Rashford na garnacho wanapokezana kutuchaganya, yaan akipona huyu mwenzake anapokea.
Lakini tutafika.
Na usajili mzuri inakuja.
Rashford, Garnacho na Bruno wanapaswa kuwa wachezaji wa akiba ndio wanaokwamisha project ya timu na kama huyu kocha anayekuja akiwaintertain na yeye ataonekana kama Gamondi tu na watamfukuzisha.
 
Back
Top Bottom